Operesheni okoa watoto: Huyu mtuhumiwa yupo wapi?

Shadow

JF-Expert Member
May 19, 2008
2,897
671
Mosi, Hii Kesi dhidi ya huyu jamaa imefikia wapi? Pili, je kuna kanuni na sheria zimewekwa kuhusu ajira za wadau wa elimu ya chekechea na shule za msingi hapa Tanzania? Unaweza kuta shule nyingi zina hawa wagonjwa wa akili na ma-Pedophiles ambao wanaweka maisha ya watoto wetu rehani.
mm.jpg
 
Back
Top Bottom