Operesheni 'kata funua' ni ulaji mwingine wa ruzuku. CHADEMA, Mbowe, Lowassa wachunguzwe

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,506
15,997
CHADEMA itaendelea kuwa shamba la bibi baada ya wajanja kugundua kuwa njia rahisi ya kutumbua ruzuku ni kuanzisha operesheni zisizo na kichwa wa miguu. Baada ya UKUTA kuyeyuka wajinga waliambiwa kuwa kuna mazungumzo yanasubiriwa baina ya akina Mbowe na 'viongozi wa dini'. Baada ya kugundulika hakuna mazungumzo yoyote kati ya Mbowe na viongozi wa dini, wakadanganywa watulie kwa sababu UKUTA umeingia moyoni eti UKUTA umefanikiwa kwa 100%. Kilichoshangaza ni mamia ya mamilioni kutumika bila maelezo.

Sasa wanadanganywa tena, operesheni 'kata funua'. Wanahalalisha matumizi ya ruzuku huku ofisi na watumishi wa chama wakiwa hoi kifedha. Kampeni hii imeshafeli kabla ya kuanza badala yake kumekuwa na uongo kwenye mitandao ya kijamii. Na sasa CHADEMA imegeuka adui wa nchi, kupiga ramli ili nchi ipatwe na mabaya, wafuasi wake wanafurahia mabaya tu. Kwa sasa CHADEMA imejikita katika yafuatayo;
  • Kufoji akauti za viongozi wa serikali katika mitandao ya kijamii na kutoa matamko halafu wanaanza kujadili wenyewe kwa lengo la kuzua tafrani.
  • Kutoa nyaraka za uongo kuhadaa umma ambazo kimsingi hudumu kwa muda mfupi.
  • Kupotosha hotuba za viongozi ili kutoa taswira hasi. nk nk.nk.
Haya yote kwa sasa wananchi wameshayapuuza,wamewapuuza,ni ngumu kupata kuungwa mkono kama walivyokuwa na hoja zenye tija kwa wananchi kama ile ya kufichua ufisadi. Baada ya 'kata funua' kufa watakuja na kampeni 'kufa kunoga' nayo itashindwa vibaya hapa ndipo hoja ya wanachadema kuwachunguza Mbowe na Lowassa inapohitajika.
 
Kazi ya ruzuku ni ipi?
Jibu.Kujenga chama.
Chama kitajengwa kwa kutafuta uungwaji mkono mkubwa zaidi na wananchi.Pia kuendesha chama.Hivyo ruzuku inafanya kazi yake tofauti na ile ya ccm iliyogawiwa kwa wabunge kwa mamilioni bila kazi yoyote isipokuwa kupitisha mpango mbovu
 
Tafadhali nionyeshe office iliyojengwa kwa hizi ruzuku
 
Njia nyingine ya wizi ambao tunapigwa makamanda wanaokula ni wachache sana
 
Kazi ya ruzuku ni ipi?
Jibu.Kujenga chama.
Chama kitajengwa kwa kutafuta uungwaji mkono mkubwa zaidi na wananchi.Pia kuendesha chama.Hivyo ruzuku inafanya kazi yake tofauti na ile ya ccm iliyogawiwa kwa wabunge kwa mamilioni bila kazi yoyote isipokuwa kupitisha mpango mbovu
wewe utakuwa mmoja wa wahusika....kijana unakula ruzuku kwa operesheni hewa?
 
CHADEMA itaendelea kuwa shamba la bibi baada ya wajanja kugundua kuwa njia rahisi ya kutumbua ruzuku ni kuanzisha operesheni zisizo na kichwa wa miguu. Baada ya UKUTA kuyeyuka wajinga waliambiwa kuwa kuna mazungumzo yanasubiriwa baina ya akina Mbowe na 'viongozi wa dini'. Baada ya kugundulika hakuna mazungumzo yoyote kati ya Mbowe na viongozi wa dini, wakadanganywa watulie kwa sababu UKUTA umeingia moyoni eti UKUTA umefanikiwa kwa 100%. Kilichoshangaza ni mamia ya mamilioni kutumika bila maelezo.

Sasa wanadanganywa tena, operesheni 'kata funua'. Wanahalalisha matumizi ya ruzuku huku ofisi na watumishi wa chama wakiwa hoi kifedha. Kampeni hii imeshafeli kabla ya kuanza badala yake kumekuwa na uongo kwenye mitandao ya kijamii. Na sasa CHADEMA imegeuka adui wa nchi, kupiga ramli ili nchi ipatwe na mabaya, wafuasi wake wanafurahia mabaya tu. Kwa sasa CHADEMA imejikita katika yafuatayo;
  • Kufoji akauti za viongozi wa serikali katika mitandao ya kijamii na kutoa matamko halafu wanaanza kujadili wenyewe kwa lengo la kuzua tafrani.
  • Kutoa nyaraka za uongo kuhadaa umma ambazo kimsingi hudumu kwa muda mfupi.
  • Kupotosha hotuba za viongozi ili kutoa taswira hasi. nk nk.nk.
Haya yote kwa sasa wananchi wameshayapuuza,wamewapuuza,ni ngumu kupata kuungwa mkono kama walivyokuwa na hoja zenye tija kwa wananchi kama ile ya kufichua ufisadi. Baada ya 'kata funua' kufa watakuja na kampeni 'kufa kunoga' nayo itashindwa vibaya hapa ndipo hoja ya wanachadema kuwachunguza Mbowe na Lowassa inapohitajika.
Mbembelezeni Dangote Kwanza Afungue Kiwanda Kianze Kazi.

Tulikua Tunanunua Siment sh.12,500. na sh.13,000.Alipositisha tu kutengeneza Siment Hivi Sasa Siment Zilizopo Tunauziwa sh.16,000.

Siasa Ipo tu Dangote Akihama Tutaathirika Vibaya.
 
Jikite kwenye hoja...siasa hizi za uongo,kuweka maneno ya uongo kwa Dangote muda si mrefu mtaumbuka.
 
CHADEMA itaendelea kuwa shamba la bibi baada ya wajanja kugundua kuwa njia rahisi ya kutumbua ruzuku ni kuanzisha operesheni zisizo na kichwa wa miguu. Baada ya UKUTA kuyeyuka wajinga waliambiwa kuwa kuna mazungumzo yanasubiriwa baina ya akina Mbowe na 'viongozi wa dini'. Baada ya kugundulika hakuna mazungumzo yoyote kati ya Mbowe na viongozi wa dini, wakadanganywa watulie kwa sababu UKUTA umeingia moyoni eti UKUTA umefanikiwa kwa 100%. Kilichoshangaza ni mamia ya mamilioni kutumika bila maelezo.

Sasa wanadanganywa tena, operesheni 'kata funua'. Wanahalalisha matumizi ya ruzuku huku ofisi na watumishi wa chama wakiwa hoi kifedha. Kampeni hii imeshafeli kabla ya kuanza badala yake kumekuwa na uongo kwenye mitandao ya kijamii. Na sasa CHADEMA imegeuka adui wa nchi, kupiga ramli ili nchi ipatwe na mabaya, wafuasi wake wanafurahia mabaya tu. Kwa sasa CHADEMA imejikita katika yafuatayo;
  • Kufoji akauti za viongozi wa serikali katika mitandao ya kijamii na kutoa matamko halafu wanaanza kujadili wenyewe kwa lengo la kuzua tafrani.
  • Kutoa nyaraka za uongo kuhadaa umma ambazo kimsingi hudumu kwa muda mfupi.
  • Kupotosha hotuba za viongozi ili kutoa taswira hasi. nk nk.nk.
Haya yote kwa sasa wananchi wameshayapuuza,wamewapuuza,ni ngumu kupata kuungwa mkono kama walivyokuwa na hoja zenye tija kwa wananchi kama ile ya kufichua ufisadi. Baada ya 'kata funua' kufa watakuja na kampeni 'kufa kunoga' nayo itashindwa vibaya hapa ndipo hoja ya wanachadema kuwachunguza Mbowe na Lowassa inapohitajika.
kwa akili yako unategemea chama kinaweza jengwa kwa kujifungia chumbani?
 
CCM waoga wa operesheni kama wagonjwa mabusha.Jana nimemuona DC mmoja akitafuta maneno ya kupiga marufuku mkutano kanda ya ziwa.
 
CHADEMA itaendelea kuwa shamba la bibi baada ya wajanja kugundua kuwa njia rahisi ya kutumbua ruzuku ni kuanzisha operesheni zisizo na kichwa wa miguu. Baada ya UKUTA kuyeyuka wajinga waliambiwa kuwa kuna mazungumzo yanasubiriwa baina ya akina Mbowe na 'viongozi wa dini'. Baada ya kugundulika hakuna mazungumzo yoyote kati ya Mbowe na viongozi wa dini, wakadanganywa watulie kwa sababu UKUTA umeingia moyoni eti UKUTA umefanikiwa kwa 100%. Kilichoshangaza ni mamia ya mamilioni kutumika bila maelezo.

Sasa wanadanganywa tena, operesheni 'kata funua'. Wanahalalisha matumizi ya ruzuku huku ofisi na watumishi wa chama wakiwa hoi kifedha. Kampeni hii imeshafeli kabla ya kuanza badala yake kumekuwa na uongo kwenye mitandao ya kijamii. Na sasa CHADEMA imegeuka adui wa nchi, kupiga ramli ili nchi ipatwe na mabaya, wafuasi wake wanafurahia mabaya tu. Kwa sasa CHADEMA imejikita katika yafuatayo;
  • Kufoji akauti za viongozi wa serikali katika mitandao ya kijamii na kutoa matamko halafu wanaanza kujadili wenyewe kwa lengo la kuzua tafrani.
  • Kutoa nyaraka za uongo kuhadaa umma ambazo kimsingi hudumu kwa muda mfupi.
  • Kupotosha hotuba za viongozi ili kutoa taswira hasi. nk nk.nk.
Haya yote kwa sasa wananchi wameshayapuuza,wamewapuuza,ni ngumu kupata kuungwa mkono kama walivyokuwa na hoja zenye tija kwa wananchi kama ile ya kufichua ufisadi. Baada ya 'kata funua' kufa watakuja na kampeni 'kufa kunoga' nayo itashindwa vibaya hapa ndipo hoja ya wanachadema kuwachunguza Mbowe na Lowassa inapohitajika.
Kwa faida ya afya yako, kapumzike. Unatumia nguvu nyingi sana kubumba. Unapoteza muda kwani hakuna anaekusikiliza.
 
Back
Top Bottom