Operesheni Haki yaiharibu CCM nchi nzima, wachambuzi wa siasa waifananisha na Operesheni Sangara ya 2012

CHADEMA ni taasisi inayoongozwa na viongozi wapuuzi na mediocres sana! Ajenda za mlipuko kama hizi za Katiba na Tozo za miamala haziwezi kujenga CHADEMA!

Pangeni namna ya kuijenga CHADEMA kama taasisi imara kiuongozi,kiuchumi then ndo mnaweza kupambana na CCM.
Katika hali ya utulivu CHADEMA haina uongozi imara kama taasisi, haina Ajenda za muda mrefu na ni taasisi dhaifu sana kiuchumi!

Hii ndo sababu CHADEMA inawekeza sana kwenye siasa za matukio kwani watu wajinga wengi ( zaidi ya asilimia 70) wanapenda sana matukio!

Tatizo ambalo viongozi wengi wa CHADEMA kwa sababu ya ujinga wao hawalijui ni kwamba wajinga wengi ( zaidi ya asilimia 70) wanaopenda matukio huwa hawadumu na hayo matukio muda mrefu !

Watashabikia issues za Katiba na Tozo za miamala ndani ya wiki 2_then wanakosa nayo appetite na kutaka tena matukio mapya! CHADEMA mtachukua miongo mingi sana kujifunza na siasa zenu kuleta tija kwa Taifa!!!!
Kama ni hivyo uoga wa nini sasa? ni sawa na mtu anaempiga biti adui yake huniwezi,nitakuua, mtu dhaifu kama wewe siwezi kupambana na wewe, huku akitetemeka na jasho linakutoka hadi matakn ndio ushujaa gani sasa huo.tokeni mpambane kwa hoja za kisiasa sio mitutu na kusingizia watu ugaidi.
 
CHADEMA ni taasisi inayoongozwa na viongozi wapuuzi na mediocres sana! Ajenda za mlipuko kama hizi za Katiba na Tozo za miamala haziwezi kujenga CHADEMA!

Pangeni namna ya kuijenga CHADEMA kama taasisi imara kiuongozi,kiuchumi then ndo mnaweza kupambana na CCM.
Katika hali ya utulivu CHADEMA haina uongozi imara kama taasisi, haina Ajenda za muda mrefu na ni taasisi dhaifu sana kiuchumi!

Hii ndo sababu CHADEMA inawekeza sana kwenye siasa za matukio kwani watu wajinga wengi ( zaidi ya asilimia 70) wanapenda sana matukio!

Tatizo ambalo viongozi wengi wa CHADEMA kwa sababu ya ujinga wao hawalijui ni kwamba wajinga wengi ( zaidi ya asilimia 70) wanaopenda matukio huwa hawadumu na hayo matukio muda mrefu !

Watashabikia issues za Katiba na Tozo za miamala ndani ya wiki 2_then wanakosa nayo appetite na kutaka tena matukio mapya! CHADEMA mtachukua miongo mingi sana kujifunza na siasa zenu kuleta tija kwa Taifa!!!!
Ebo Chadema wajinga Tena..wakati viongozi wako wengi wanetoka Chadema ..unafikiri hawako kimkakati..open your eyes
 
Back
Top Bottom