Operesheni Haki, Lindi: Wananchi Nachingwea wasimamisha msafara wa Freeman Mbowe, waomba neno la matumaini

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,376
217,435
Mwamba Mbowe pamoja na Umwamba wake leo amegonga mwamba huko Nachingwea baada ya wananchi kulala barabarani wakilazimisha awasalimie.

Ikumbukwe kwamba Mwamba Mbowe au Mtemi Isike yuko Kanda ya Kusini kwenye kampeni ya Operesheni Haki yenye lengo la kuhamasisha upatikanaji wa Katiba mpya na Tume Huru ya uchaguzi.

BAVICHA_&_CHASO’s_Instagram_profile_post:_“Leo_Juni_17,_2021_Msafara_wa_mwenyekiti_wa_Chad...jpg
 
Namuona Lisu pembeni kavaa kapelo, hii ilikuwa ni kipindi cha uchaguzi mkuu lkn mleta mada anataka kutuaminisha kuwa ni ya leo au jana. Style hii ya kujipiga changa la macho wenyewe ndo inayorudisha upinzani nyuma miaka yote, kwan watanzania wa sasa wako makini kuliko wakati wowote ule.
 
Pasi na katiba mpya wala tume huru ya uchaguzi lazima CCM ishinde kwa kishindoooo.
Tume hii hii na katiba yake ndio iliyokuwa inawapa ushindi Mbowe, Lisu, Zito na wabunge wengine wa vyama vya upinzani kwa zaidi ya miaka kumi, sasa haiwezekani leo hii kuangukia pua ktk uchaguzi mkuu ndo lawama zote wazihamishie kwenye tume na katiba.
 
Namuona Lisu pembeni kavaa kapelo, hii ilikuwa ni kipindi cha uchaguzi mkuu lkn mleta mada anataka kutuaminisha kuwa ni ya leo au jana. Style hii ya kujipiga changa la macho wenyewe ndo inayorudisha upinzani nyuma miaka yote, kwan watanzania wa sasa wako makini kuliko wakati wowote ule.
Wewe Juha Kweli...Isome hiyo T-shirt Ya Mbowe kwanza
 
Dah, ila Mwamba anakubalika sana, jana kuna mahala nilienda kupata moja moto, moja baridi, sasa wakawa wanapiga mziki kwa sauti ya chini sana, kuuliza kulikoni wakasema Mheshimiwa Mbowe yuko hapa, ndo kumuona! Aliposepa tu mziki ukaachiwa! Nilitafakari sana hiyo situation..!!
 
Namuona Lisu pembeni kavaa kapelo, hii ilikuwa ni kipindi cha uchaguzi mkuu lkn mleta mada anataka kutuaminisha kuwa ni ya leo au jana. Style hii ya kujipiga changa la macho wenyewe ndo inayorudisha upinzani nyuma miaka yote, kwan watanzania wa sasa wako makini kuliko wakati wowote ule.
Kapimwe kinyesi na damu huwenda una matatizo lukuki
 
Back
Top Bottom