Operesheni Haki: Kampeni za kimataifa kuwafikia Diaspora. Mbowe, Lissu, Mnyika kuhutubia

Baada ya kukamilisha Operesheni Haki kwenye kanda 10 za Tanzania kwa mafanikio makubwa , sasa ni zamu ya Kimataifa , Tundu Lissu , John Mnyika pamoja na mwamba mwenyewe Freeman Mbowe kuunguruma kidigitali .

Wote Mnakaribishwa .View attachment 1856426
Mnahangaika tu ndugu

Shaurianeni kuhimiza jamii kufanya kazi kwa bidii ili wajikomboe kwenye uchumi na kuandaa maisha bora kwa vizazi

Haya mnayo hangaika nayo ni upuuzi tu na kuonyesha tamaa za mamlaka
 
Baada ya kukamilisha Operesheni Haki kwenye kanda 10 za Tanzania kwa mafanikio makubwa , sasa ni zamu ya Kimataifa , Tundu Lissu , John Mnyika pamoja na mwamba mwenyewe Freeman Mbowe kuunguruma kidigitali .

Wote Mnakaribishwa .View attachment 1856426
Wengine tumeishi Huko nje...wengi waliopo Huko ni wababaishaji hawajielewi..hawana pesa...wanafanya kazi za hovyo hovyo..sijui huo uwekezaji wanaotaka kufanya ni upi? Mbona wageni wanawekeza bila ya kuwa watanzania? Walikuwa watanzania wakaukana utanzania wao mnataka Nini Sasa? Mkiruhusu ujinga huu mtatuletea waganda watanzania...wakenya watanzania..wakongo watanzania..wanaigeria watanzania...tutaona wimbi la wageni hapa wakioa au kuolewa na watanzania ili kupata hiyo fursa...nyie wakina mbowe na wenzako baada ya miaka ishirini mtakuwa mmekufa sijui Kama mnaliona Hilo...piganieni vitu vya msingi kwa watoto wenu sio kuwaletea matatizo hapo baadae...watoto wenyewe Hawa wa miaka ya tisini hawajielewi kabisa watasumbuliwa sana na Sheria hii...serikali ikatae ujinga huu...Kama wewe ulipata uraia wa USA Basi mnigeria hawezi kosa uraia wa tz kwa Sheria hizi za kijinga...mliukana utanzania wenyewe bakini na uraia mlioupenda..HATUTAKI
 
Polisi_Mkoani_Mwanza,_wamekataa_kupokea_chakula_cha_wanawake_7_ambao_wanawashikiliwa_mahabusu....jpg
 
Wakinionyesha wakikataa HUNDI ya RUZUKU kutokana na WABUNGE wao covid-19 ambao wanasema awawatambui,nitawamini kama ni WAPIGANIA HAKI na ni WAKWELI.

Bila hivyo tuseme ni WASANII na WASAKATONGE.
 
Nyinyi puyangeni huko lakini mjue kabisa mwisho wa siku wananchi wanaipa kura CCM chama makini,kinabeba viti vyote Tanzania.
 
Back
Top Bottom