Operator wa excavator, wheel loader na bulldozer anatafuta kazi

igihumbi

JF-Expert Member
Feb 20, 2017
407
500
Poleni na majukumu.

Mimi ni operator mwenye uzoefu kazini zaidi ya miaka 3. Kuna baadhi ya miradi nilifanya kazi Kama operator wa excavator sehem nyingine Kama operator wa bulldozer na sehem nyingine Kama operator wheel loader. Licha ya kuwa operator bado nina uwezo wa kufanya matengenezo madogomadogo kwenye mashine maana Nina uzoefu nazo.

Tafadhali wakuu naombeni msaada wenu naweza fanya kazi ipasavyo na hizo mashine ipasavyo katika mazingira yoyote na mahali popote.

Sichagui mkoa wala Aina ya mashine nipo tayari kwa mashine yoyote Kati ya hizo tatu.

Kwa Sasa napatikana dar kwa 0657623266 nipo tayari kuja mahali popote.
 

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 31, 2016
11,274
2,000
Tuma maombi katika miradi ya sgr mwanza isaka na hata huu wa dodoma ukija unapata.kwa saa unalipwa 3000-4000
 

Mbeba Lawama

JF-Expert Member
Oct 12, 2015
379
1,000
Mr operator sogea maeneo yenye tija na fani yako kama kanda ya ziwa na uko tinde ambako kuna miradi ya SGR
 

igihumbi

JF-Expert Member
Feb 20, 2017
407
500
Asante mkuu Ila nimetuma GGM bila mafanikio sijajua au hadi niwe na mtu au maana zaidi ya mara 5 hadi Sasa nimesha tuma maombi hapo.
 

igihumbi

JF-Expert Member
Feb 20, 2017
407
500
Mr operator sogea maeneo yenye tija na fani yako kama kanda ya ziwa na uko tinde ambako kuna miradi ya SGR
Sawa mkuu Asante Sana Ila nilikuwa huko kwenye SGR mwanza site ya fela zaidi ya miezi 3 bila mafanikio maana hakuna mashine wala gari mpya zinazo ingia panakatisha tamaa.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom