Operations managers, na operations directors na economic growth

z12f

JF-Expert Member
Dec 4, 2017
635
458
Operations managers, na operations directors ni muhimu kwa economic growth ya nchi.

Hawa huwa wanahusika na procurement of technology, catering, employment, staff health insurance, salaries na training of staff, kwenye organisations.

Hawa wakiwa dhaifu basi organisations zinaweza kuyumba.

Wakiajiri wafanyakazi dhaifu au wakinunua technology dhaifu, au waki procure caterer dhaifu hii inaweza kuyumbisha taasisi na pia inaweza kupunguza kasi ya kukua kwa uchumi.

Maamuzi mabaya kwenye private sector (au na CSOs) yanaweza kuyumbisha uchumi kwasababu kuna sehemu kubwa ya uchumi ambayo iko mikononi mwa private sector.

Of course sometimes CEOs na board ndio wana maamuzi ya mwisho. Na sometimes budget ina weza kuwa finyu.

Sometimes operations managers, na operations directors wana ajiri timu ya kuwanufaisha wao badala ya timu ya kuinufaisha taasisi.

Operations managers, na operations directors wa namna hii huwa wanafanya hivi ili kufifisha upinzani wakati utakapofika wakiamua kuwania cheo cha uCEO.

Kuna baadhi ya operations managers, na operations directors wanachukia staff training na staff scholarships. Wana ona hizi zinapoteza muda. Hii sio vizuri kwa taasisi na taifa as staff training ni muhimu kwa skills acquisition na human capital formation.

Sometimes operations managers, na operations directors wanachukia job candidates ambao wanadhani wako overqualified academically (Bachelors, Masters au PhD depending on the situation). Hii inaweza kuwa sawa au si sawa.

Kwa mfano kama taasisi inajihusisha na utafiti kwa kiasi fulani basi si sawa kukwepa kuajiri mtu mwenye Masters au PhD. Pia inabidi staff waruhusiwe ku contribute (at least kidogo) kwenye journal publications.

Kujihusisha na journal publications kutawapa staff ideas ambazo wataweza kuzitumia wakati wa kuandika Strategy ya organisation. Strategy nzuri ya organisation inaweza ku attract more funding for the organisation.

Na kama taasisi inajihusisha heavily na utafiti basi kukwepa kuajiri mtu mwenye PhD ni uamuzi mbaya ambao utaiyumbisha taasisi na pia utayumbisha uchumi kwa kiasi fulani.

Kwa mfano, if total annual donor funding to CSOs in Tanzania ikipungua by 100 million USD. Kutokana na 5 year Strategies dhaifu za CSOs, hili kwa kiasi fulani ni pigo kwa taifa. In terms of jobs, tax revenues na foreign exchange earnings.

So kama CSO iko involved na research kwa kiasi fulani, ni vizuri ku groom and temporarily hire local PhDs ili wakati wa kuandika organisation Strategy, taasisi inufaike na watu hawa. Also invite them kwenye workshops za taasisi ili wawe familiar na kazi za taasisi, na pia ili wa network vizuri. Badala ya kuwasanifu na kuwa dharau watu wa namna hiyo. Also kuajiri expatriates sometimes kuna ligharimu taifa fedha nyingi za kigeni. Na sometimes hawa expatriates wana kuwa sio well qualified.

Ni vizuri pia operations managers, na operations directors wakajua kwamba watanzania waliosoma vyuo mahiri vya Marekani na Ulaya wana thamani kubwa kwenye uchumi wa nchi. So wajitahidi wasi wadharau watu hawa.

Also kutokana na mahitaji ya uchumi wa kisasa ni vizuri pia kama operations managers, na operations directors wakikubali flexible working hours. Sio lazima kila mfanyakazi afanye kazi full time.

Ni vizuri pia operations managers, na operations directors waka wasimamia ma-supervisor, ma-manager na mi-directors ili hawa senior staff wasiwaonee junior staff.

Wito kwa operations managers, na operations directors ni kwamba waelewe umuhimu wao kwenye taasisi na taifa. Na wajitahidi kufanya kazi kwa weledi na ubunifu.

Vile vile hongera kwa operations managers, na operations directors wanaofanya kazi zao vizuri.

NB: Operations managers, na operations directors vile vile huwa wanahusika kwenye kuruhusu mfanyakazi apumzike siku zake za ibada.
 
Back
Top Bottom