Operation vijiji-silaha iliyobaki.

montroll

JF-Expert Member
Jul 31, 2011
319
126
CDM and the pipoz pawa imefanya kila linalohitajika kuleta uelewa wa ukombozi wa kweli,lakini bado wanyonyaji ccm wameendelea kushinda katika sanduku la kura, inawezekana wanaiba kura kwa kusaidiwa na dola lakini pia wanapata kura nyingi toka kwa watu wa vijijini ambao wamekosa fursa ya kufunguliwa mawazo yao ambayo yalitiwa gerezani na ccm kwa miaka 50.

Makamanda wa cdm, sasa ifanyike operation vijiji, kuzikomboa hizo akili na mawazo zilizofungwa na ccm.
Akili na mawazo hayo yaliyofungwa na ccm vijijini ndio mtaji wao wa mwisho, na kweli ni mtaji kwa magamba.
I suggest we hugely invest on emancipating the remote areas mind for two years non stop. Ccm will crumble like a cookie.

Ni aghali, pipoz pawa ina weza kuchangia gharama,
Duit naw.

Napendekeza.
 
Naonnga mkono mawazo yako, Tena chama kiweke utaratibu wa kuwa-direct vijana especially walio vyuo vikuu na waliomaliza vyuo wenye uwezo wa kuchambua mambo then wapelekwe kufanya mikutano vijijini kutokana na maeneo watokayo, naamini vijana wengi tupo tayari kufanya kazi hii bila hata malipo.
 
Hata kama mkianzisha operation kaya hamwezi kushinda kwa huu mfumo wa uchaguzi ngo na wasira kasema,wengine wanajiapiza kunywa sumu,kutembea uchi wanajua tume hii ya uchaguzi mtakesha sana
 
Mawazo yenye tija kwa ukombozi. CDM wakati ni huu, tunataka mfagie kuanzia Ikungulyabadoshi/Isakamaliwa/Uzogole/salamaA hadi hadi Mwanalomango Kisarawe. Watu wapo, CDM nia mnayo! Sababu mnazo! Uwezo mnao! Kilichobaki ni ...........
 
Back
Top Bottom