operamini mpya yaekwa download manager inayoresume

Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
30,689
39,753
hii ni habari njema kwa wanaotumia simu za java na blackberry ambao walikua wakidownload wanashindwa kuresume mafile yao pindi network ikikata.

Wengi wetu tulikua tukitumia opera kwenye kubrowse na ucweb kwenye kudownload kwa ajili hii.

gsmarena_001.jpg

version hii mpya ya opera inaitwa 7.1 na mpaka style ya kudownload itabadilika.

Thanks opera kwa kuzijali simu ndogo hadi leo
 
yah mkuu C6 android na symbian long time ina resume leo ni siku ya watu wa bb na java phone almaarufu j2me
 
Last edited by a moderator:
j2me .. Hyo huwa siielew maana kwenye symbian yang huwa yanajicreate mafail ya j2me
 
hii ni habari njema kwa wanaotumia simu za java na blackberry ambao walikua wakidownload wanashindwa kuresume mafile yao pindi network ikikata.

Wengi wetu tulikua tukitumia opera kwenye kubrowse na ucweb kwenye kudownload kwa ajili hii.

gsmarena_001.jpg

version hii mpya ya opera inaitwa 7.1 na mpaka style ya kudownload itabadilika.

Thanks opera kwa kuzijali simu ndogo hadi leo

Mbona hata 7.0.31438 ina hiyo kitu. Ila UcWeb nayo inakuja kasi kweli kweli na kitu nilichoipendea Operamini 7 ni wakati unapotaka kudownload file from file sharing websites kwa kweli kanajitahidi ingawa ni kwa kubahatisha au kulazimisha. Yaani kila browser na madhaifu yake Operamini 7 kwenye jamii forums avatar hazionekani lakini Ucweb inazionyesha.
 
kwenye cmu yangu kuna mafolder huwa yana ji creaje kwa jna hlo la j2me... Huwa sielew n k2 ganii
 
bado tutahitaji kutumia UCbrowser kene kudownloa maana uki exit au simu kujizima Ukiingi kene opera ile file ulio kua unadownload inakua imepotea mpaka uanze upya, but UC ita pick up wher the phone ilipo zima, still opera has a job to do,

Running Opera Mini 7.5 in Android
 
bado tutahitaji kutumia UCbrowser kene kudownloa maana uki exit au simu kujizima opera itaanza mwanzo, bu UC ita pick up wher the phone ilipo zima, still opera has a job to do

Ni kweli mzee Ucweb Download manager yake imetulia
 
bado tutahitaji kutumia UCbrowser kene kudownloa maana uki exit au simu kujizima Ukiingi kene opera ile file ulio kua unadownload inakua imepotea mpaka uanze upya, but UC ita pick up wher the phone ilipo zima, still opera has a job to do,

Running Opera Mini 7.5 in Android

mkuu natafuta opera hio nihakikishe mwenyewe huwezi jua improvement ipo kiasi gani.
 
ok nimetafuta na link nimeitafuta nimebahatika kuipata link hii hapa

http://mini.opera.com/global/opera-mini-7.1.32052-advanced-en-gb.jar

nilichogundua ni kua kama version zilizopita still operamini ya j2me haiwezi kudownload mafile ya jar.

Ila kwenye media mejaribu kudownload mziki i was impressed ilikua same au more than ucweb link hio hapo juu mnaweza kutest

wakati unadownload utaona wanakuuliza either usave au uopen udownload na browser hii nafkiri ni ya kawaida. Inajulikana

Hemed000010.jpg

then stage ilofatia opera inakupa vibox viwili kimoja una option ya kuona jina na kurename na cha pili kuchagua location ya file zamani ilikua unachagua location ya file tu.

Hemed000011.jpg

ukishaclick ok itaanza kudownload then mimi nikajaribu kupause ikiwa imedownload 2.3 kati ya 3.3 ya download nzima kama unavoona

Hemed000012.jpg

then nika exit opera nikarudi tena nkaikuta download haijapotea na nkaresume ikakubali

Hemed000013.jpg
so bwana ningar opera wamechange

Hemed000014.jpg
 
iko poa balaa...
 
Now am impressed
 
Back
Top Bottom