Open University

BENE

Member
Jan 21, 2010
20
0
Bado naangalia kwenye website ya Open University of Tanzania, nia na madhumuni ni kutafuta maelezo kuhusu lini masomo yanaanza. Nikimaanisha kama ndiyo kwanza nimejiunga masomo yanaanza lini. Au ingekuwa kwa vyuo vya kawaida ningesema "je semester ya kwanza inaanza lini??" Sijaona maelezo yoyote yanayohusu lini wanaanza masomo kwa new intake. Mwenye jibu tafadhali naomba mara moja. Nataka nijiunge siku yoyote kunzia sasa.
Kingine ni kwamba kulingana na Undergraduate Program za kwao sijaona Bachelor of Arts in Economics. Lakini kwenye course outline wameweka B.A (Economics) Sasa nashindwa kuelewa je Open University of Tanzania wanatoa B.A in Econimics au la?? I am very interested with the course. Lakini nikisoma kwenye wbsite sioni maelezo nayoyataka. Mwenye Majibu ya maswali yangu tafadhali anijibu. Wasiliana nami kwa email yangu ili nisaidike haraka benneshekke@yahoo.com
 
PITIA KWANZA HII DOCUMENT YA TCU HAPA http://www.tcu.go.tz/Guide.pdf
 
Nataka kujua hivi chuo hiki kinatoa masters ya kiswahili kwa njia ya course work? kwani mwanzoni walikuwa hawatoi masters kwa njia hii.
 
Back
Top Bottom