Open university ni chuo kigumu kwelii kwa elimu hapana

Kifaru86

JF-Expert Member
Apr 22, 2017
1,734
3,802
Nimesoma vyuo tofauti lakini sijawahi kuona chuo kigumu ndugu zanguni Kama open university..........

Yaani nimeshidwa kuamini baada ya kujiunga chuo nimeambiwa hakuna kuingia darasani , Hakuna lecture, Hakuna walimu, wanafunzi hamjuani, material unatafuta mwenyewe wao wanakupa mwongozo, wewe unasubilia mitihani tuu basiii

kwa elimu hiii hapana kabisaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ni kwamba ukuw hujui wanafanyaje kazi?
Hukufanya research kabla ya kujiunga?

Hiko chuo ni kwa wale wenye uwezo wa kujisomea peke yao. Kama umezoea darasan basi umeumia.
Nimesoma vyuo tofauti lakini sijawahi kuona chuo kigumu ndugu zanguni Kama open university..........

Yaani nimeshidwa kuamini baada ya kujiunga chuo nimeambiwa hakuna kuingia darasani , Hakuna lecture, Hakuna walimu, wanafunzi hamjuani, material unatafuta mwenyewe wao wanakupa mwongozo, wewe unasubilia mitihani tuu basiii

kwa elimu hiii hapana kabisaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiki kizazi kipya ambacho
1. Mwalimu anaitwa ........" MADAM"

2. Baba anaitwa .........." DAD"

3. Kinapelekwa shule wa gari na kuridishwa kwa gari

4. Hesabu wanafanya kwa calculator badala ya four figure na slide rule

5. Vitabu wanatumia videsa, powerpoint badala ya VINE and REES a.k.a MKATE, ABBOTT nk

Sasa kimefikia level ya chuo kikuu sasa kinaanza kupata taabu duniani. Wa ST. KAYUMBA wanapeta tuu maana hayo waliyazoea tangu awali
 
Nimesoma vyuo tofauti lakini sijawahi kuona chuo kigumu ndugu zanguni Kama open university..........

Yaani nimeshidwa kuamini baada ya kujiunga chuo nimeambiwa hakuna kuingia darasani , Hakuna lecture, Hakuna walimu, wanafunzi hamjuani, material unatafuta mwenyewe wao wanakupa mwongozo, wewe unasubilia mitihani tuu basiii

kwa elimu hiii hapana kabisaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Vilaza hapa mshindwe tuuh..! Sasa hizo bangi zako ata hazikusadii..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kusoma Private schools sometimes huwa ni raha sana lakini madhara yake waga ni haya huanzia vyuoni... But hapo waliosoma Yeboyebo schools ni swala la kawaida tu tena anafaulu kuliko kawaida...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimesoma vyuo tofauti lakini sijawahi kuona chuo kigumu ndugu zanguni Kama open university..........

Yaani nimeshidwa kuamini baada ya kujiunga chuo nimeambiwa hakuna kuingia darasani , Hakuna lecture, Hakuna walimu, wanafunzi hamjuani, material unatafuta mwenyewe wao wanakupa mwongozo, wewe unasubilia mitihani tuu basiii

kwa elimu hiii hapana kabisaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Ushambiwa ni Chuo Huru

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahyo hadi unaenda hapo ulikuwa hujui ni chuo cha namna gani? Nina mashaka na wewe
 
Back
Top Bottom