NANGA WA KWATA
JF-Expert Member
- Jul 8, 2016
- 346
- 232
Hivi vyuo vinadahili wanafunzi kwa ngazi ya degree mwaka huu direct chuoni bila kupitia TCU je ni haki au tunatapeliwa?
Kama hutaki kuomba direct omba TCU, na sifikirii kama unataka kuomba hivo vyuo au unataka kujua lolotte kuhusu hivyo vyuo.Hivi vyuo vinadahili wanafunzi kwa ngazi ya degree mwaka huu direct chuoni bila kupitia TCU je ni haki au tunatapeliwa?
tatizo hawa open hawaeleweki ndoo maana nikalileta hapa kwa ufafanuzi tcu mbali nipo villaKama hutaki kuomba direct omba TCU, na sifikirii kama unataka kuomba hivo vyuo au unataka kujua lolotte kuhusu hivyo vyuo.
kwanin usende open uiversity na TCU kuwauliza?
Si kila jambo liulizwe, mengne hayakuhusu wacha yapite.