Open University Kunani Pale?

Wewe Mtu Ana Uliza Masomo Jamaa Wanasema Hakuna Sasa Nifanyeje Labda Uliza Dar,au Utafanya Mwaka Ujao Hiki Ni Chuo Uliya Sasa Unanipangia Muda Wewe Na Ada Nimelipa,unazidi Kuniwekea Mizigo Mbele Yangu,jk Pangua Safu Za Uongozi Hapa,sasa Na Ungana Na Wenzangu Kwamba Wako Watu Tanzania Wana Weza Fanya Kazi Hii,mbwete Amka Umeshelekea Mno Amka Sasa.
 
Mambo mengine ni bora usiyasikie!!!!!!! Ninatamani kusikikia hao watunga sera wanaosoma hapo (Wabunge) watasema nini juu ya hili. Shida hiz posti za u VC zinakuwa za kipolitiki au kupeana fulani. Kuna wasomi wengi wanaranda nje ya nchi ...ni kwanini hiz ikazi zisitangazwe na huyu VC apewe hadidu za rejea zinazoeleweka . Na maelekezo kwamba tusipoona ,ABC unakwenda nyumbani? Pungufu ya hili itakuwa ni "kashfa" kila kukicha...watu wanapenda kuendelea na hali iliyopo..wale na familia zao washibe hakuna ndoto kubwa!
 
utaratibu wa 2009/2010 uko bomba isipokuwa for continuing students.Test and Annual kwishnei!
 
Back
Top Bottom