Open university interview

mwaipembe

Member
Aug 8, 2011
93
23
Wana jf naomba kujuzwa kama open university waliishaita watu kwenye interview.pia mwenye dondoo kuhusu nafasi za open university tulizoomba naomba atujuze.kazi njema wakuu
 
Hizo nafasi za kazi zilitangazwa lini, kama vipi muulizie huyo ndugu yako aliyekupa taarifa ya nafasi za kazi, sisi tunatafuta kazi nyie mnatangaziana nafasi za kazi kiundugu, sasa unaulizie interview, unataka tukujibu nini sasa? angryyyyyyyyyy!!!
 
Mwaipembe, usaili upo unaendelea hivi sasa........Kama hujaitwa......unaweza kuitwa anytime endapo GPA yako ya 1st degree ni nzuri yaani kwenye 4+, japo competition is so stiff!
 
Hizo nafasi za kazi zilitangazwa lini, kama vipi muulizie huyo ndugu yako aliyekupa taarifa ya nafasi za kazi, sisi tunatafuta kazi nyie mnatangaziana nafasi za kazi kiundugu, sasa unaulizie interview, unataka tukujibu nini sasa? angryyyyyyyyyy!!!

Duh! Hizo ajira mi mwenyewe sikuzisoma japo ni mlevi wa hili jukwaa, pole yetu.
 
M2 wangu mi mwenyewe sijapata feedback bado, so sijui kitu labda tusubirie.
 
kaka ngoswe usiwe na hasira huwezi jua kila kitu mana hizi nafasi zilkuwa wazi kabisa.jaribu kutumia busara zaidi kaka maana hatuwezi fika popote kwa mwenendo huo
 
Hizo nafasi za kazi zilitangazwa lini, kama vipi muulizie huyo ndugu yako aliyekupa taarifa ya nafasi za kazi, sisi tunatafuta kazi nyie mnatangaziana nafasi za kazi kiundugu, sasa unaulizie interview, unataka tukujibu nini sasa? angryyyyyyyyyy!!!

duh! Ngoswe una hasira? Punguza munkari,haya mwaipembe tuambie hizo nafasi zilitangazwa lin?
 
Wana jf naomba kujuzwa kama open university waliishaita watu kwenye interview.pia mwenye dondoo kuhusu nafasi za open university tulizoomba naomba atujuze.kazi njema wakuu

tembelea tovuti yao ila nasikia mbado.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom