Open Space mbele ya Palm Beach Hotel!

Tusker Bariiiidi

JF-Expert Member
Jul 3, 2007
5,520
2,091
Kuna tetesi kuwa ule uwanja wa wazi mbele ya Palm Beach Hotel Sea View,umekwapuliwa na familia ya Mkulu... Baada ya matokeo umezungushwa ukuta.
 
Jamani si hivi karibuni mkuu wa mkoa dsm aliunda tume ya kuhakikia maeneo yote wa wazo (open space), na zoeli hili liliwagharimu watu kufukuzwa kazi na wengine kuhamishwa vituo, sasa hii tokea wakati hata machungu hayajapowa, jamani nchi hii kweli imeuzwa
 
Mkullu alikuwa waziri wa fedha awamu iliyopita na ni mbungwe wa kuchaguliwa kilosa
 
Jamani si hivi karibuni mkuu wa mkoa dsm aliunda tume ya kuhakikia maeneo yote wa wazo (open space), na zoeli hili liliwagharimu watu kufukuzwa kazi na wengine kuhamishwa vituo, sasa hii tokea wakati hata machungu hayajapowa, jamani nchi hii kweli imeuzwa

Mkuu wa Mkoa alikuwa akiwaandalia wakubwa zake. Wenye maeneo ndiyo hao wanapewa sasa.
 
kaugonjwa kabaya sana hako kwa kitaalam kanaitwa landiosis grabiosis

Binomials....Landiosis grabiosis NN (from Greek, Landiole...land and Grabiole...grab)..This is cool man!

To honour u, initials of your name were added as suffix
 
Hata mie nimepita hapo nikaona nikadhani labda Palm wamepanunua, kumbe wenyewe washajichukulia chao mapema duh!
 
bila aibu anaendeleza madudu yake mbele ya waTz. hata ningekuwa nafanya mtihani nikaulizwa rais wa Tz najaza Dr. Slaa!
 
Ahahaaaa... halafu Mwalimu akiweka chanjo unamwambia lazima aweke pata mpaka athibitishe jibu lake tokea kwenye kata..
 
mkulu nani huyo tena?

Mkulu anyekaa katikati ya mitaa ya Luthuli na Ocean... Yule aliyechakachua... CHIZZZIWANI ndo mmiliki... Palm Beach mtoto wa Simba na hela za walalahoi wanawake wa PRIDE... Kwanini hatujiulizi PRIDE haipo kwenye majimbo walioshinda Wazalendo Dar???... Kama Ubungo na Kawe??? Jibu tunalo wenyewe... kopa Laki moja lipa laki nne... NAWASILISHA...
 
Kuna tetesi kuwa ule uwanja wa wazi mbele ya Palm Beach Hotel Sea View,umekwapuliwa na familia ya Mkulu... Baada ya matokeo umezungushwa ukuta.

Usiwe unaandika mambo ambayo huna data nayo,watu watakudharau, Ule haukuwa uwanja wa wazi, kilikuwa ni kiwanja. na kilikuwa na kesi tangu mwaka 1998, kati ya city na marehemu Wakili MUKADAM, Kesi imekwisha mwaka 2009,lakini wakati kesi inamalizika mzee MUKADAM alikuwa ameshafariki kwa hiyo kesi ilikuwa inaendeshwa na mwanae anaeitwa TAHER MUKADAM, kwa hiyo kwa sasa hivi kile kiwanja ni mali ya TAHIR MUKADAM, USIWE NA WIVU WA KIKE
 
Punguza hasira major,
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom