Tusker Bariiiidi
JF-Expert Member
- Jul 3, 2007
- 5,551
- 2,149
Kuna tetesi kuwa ule uwanja wa wazi mbele ya Palm Beach Hotel Sea View,umekwapuliwa na familia ya Mkulu... Baada ya matokeo umezungushwa ukuta.
Kuna tetesi kuwa ule uwanja wa wazi mbele ya Palm Beach Hotel Sea View,umekwapuliwa na familia ya Mkulu... Baada ya matokeo umezungushwa ukuta.
Jamani si hivi karibuni mkuu wa mkoa dsm aliunda tume ya kuhakikia maeneo yote wa wazo (open space), na zoeli hili liliwagharimu watu kufukuzwa kazi na wengine kuhamishwa vituo, sasa hii tokea wakati hata machungu hayajapowa, jamani nchi hii kweli imeuzwa
kaugonjwa kabaya sana hako kwa kitaalam kanaitwa landiosis grabiosis
unamaanisha mkulo?
Ahahaaaa... halafu Mwalimu akiweka chanjo unamwambia lazima aweke pata mpaka athibitishe jibu lake tokea kwenye kata..bila aibu anaendeleza madudu yake mbele ya waTz. hata ningekuwa nafanya mtihani nikaulizwa rais wa Tz najaza Dr. Slaa!
mkulu nani huyo tena?
Nchi ishauzwa hii.
Kuna tetesi kuwa ule uwanja wa wazi mbele ya Palm Beach Hotel Sea View,umekwapuliwa na familia ya Mkulu... Baada ya matokeo umezungushwa ukuta.
Usiwe unaandika mambo ambayo huna data nayo,watu watakudharau, Ule haukuwa uwanja wa wazi, kilikuwa ni kiwanja. na kilikuwa na kesi tangu mwaka 1998, kati ya city na marehemu Wakili MUKADAM, Kesi imekwisha mwaka 2009,lakini wakati kesi inamalizika mzee MUKADAM alikuwa ameshafariki kwa hiyo kesi ilikuwa inaendeshwa na mwanae anaeitwa TAHER MUKADAM, kwa hiyo kwa sasa hivi kile kiwanja ni mali ya TAHIR MUKADAM, USIWE NA WIVU WA KIKE