Mzalendo_Mwandamizi
JF-Expert Member
- Dec 12, 2007
- 1,117
- 4,764
Kinyume na imani iliyozoeleka kuwa intelijensia ni suala linalofanywa na mashushushu pekee, au watu wa vyombo vya dola, baadhi ya nyanja katika taaluma hiyo zinaweza pia kufanywa na wasiojihusisha na taaluma hiyo per se. Including you, or anybody else, kwa mfano, kwa kutumia "open source intelligence" kwa kifupi OSINT.
So, tuna kampuni moja kutoka Misri ambayo imekabidhiwa jukumu la kujenga "Stigla Goji" mradi unaotajwa kuwa wa kihistoria na ambao Jiwe anaamini kuwa utakuwa moja ya legacies zake. Lakini je kampuni hiyo ni safi?
Fanya urafiki na Google, kisha weka jina la kampuni hiyo plus neno "corruption." Let me not pre-empt matokeo ya "open source intelligence" yako, ila tu naomba kuamsha tafakuri yako kuhusu findings za uchunguzi huo mdogo, especially iwapo suala hilo zima halitokuwa na athari kwa mradi huo wa kihistoria.