Uchaguzi 2020 Open letter to the National Electoral Commission of Tanzania

Anaweza akiwa anasema ukweli halisi kabisa wa mambo Nchini wengine wasione katukana wewe ukaona katukana.

Kuhitimisha neno kama ni TUSI au la kunatofautiana kati ya NTU na NTU.

I will be there, asitukane tu!
 
Huwa nafurahia comment zako maana DHAIFU aliwapa kila mlichokitaka na hamkuridhika
Anayeharibu ni huyo anayejiita KICHAA. Angeamua kutenda HAKI badala ya udhalimu na kuwa dikteta haya yote yasingekuwepo.

Inayoharibikiwa ni Nchi imagine kama Nchi za wafadhili na Jumuiya ya Kimataifa baada ya uchaguzi waseme huu uchaguzi haukuwa huru na haki hivyo hatuko tayari kushirikiana na Serikali haramu. Hizo trillions wanazotoa kama mikopo au misaada zitaleta pengo kubwa sana kwenye bajeti na hivyo kusababisha budget deficit kuwa kubwa sana ambayo inaweza kulazimisha watu wengi Serikalini kupunguzwa kazi.

UHURU na HAKI huinua Taifa lolote lile duniani kuleta furaha na amani ndani ya Nchi lakini UDHALIMU na CHUKI na uminywaji wa HAKI na UHURU huangamiza Taifa.
 
Nyie ndio muache ujinga kumshobokea Amsterdam. Wagombea wenu hawana umoja,mlipochukua form siku zote zile mlikua mnazifanyia nini hasa. Mna mwanasheria ina maana mlishindwa hata kukutana na kujaza pamoja kuzuia magoli ya mkono,ccm na mbinu zao sio wageni kwenu.

Kulalamika na kuwatumia wazungu kuwasaidia kuficha udhaifu wenu ni ujinga mkuu.

Wanzania wenye macho tulimaliza kuwaona 2015 mlipouza chama
Jibu swali. Kwani watanzania hatuna macho? Wagombea wa upinzani hawaenguliwi? Sasa Amsterdam anaharibu nini hapo? Acheni ujinga.
 
Huyo aliyedai pesa za Escrows si za Watanzania na kisha tunaona Ruge na yule mdosi wakiozea jela?😳😳

Huyo aliyetuletea Richmond/Dowans za Rostam kisha Rostam kuondoka na $100 millions za walipa kodi? 😳😳

Huyo aliyetishwa asikubali rasimu ya Warioba na angalia sasa Nchi inavyohangaika kwa kutokuwa na ile katiba ya wananchi? 😳

Huyo aliyetuletea mgombea anayejiita KICHAA ambaye sasa anaiburuza Nchi atakavyo huku kukiwa na ukiukwaji mkubwa wa taratibu mbali mbali za kikatiba, kimahakama na Bunge?
😳😳

Huwa nafurahia comment zako maana DHAIFU aliwapa kila mlichokitaka na hamkuridhika
 
Huyo huyo kawaletea mnayemchukia na akawachagulia mgombea uraisi 2015 pia.

Hizo kashfa zote hapo na mamvi alimkua nazo mkamsafisha mkitaka ushahidi na kutamba kama kweli ana kosa apelekwe mahakamani.

Anyway hapo mlipo mpo na nyalandu mmeshamsafisha na kumuona kamanda mwenzenu. SIASA HIZI DUH!
Huyo aliyedai pesa za Escrows si za Watanzania na kisha tunaona Ruge na yule mdosi wakiozea jela?😳😳

Huyo aliyetuletea Richmond/Dowans za Rostam kisha Rostam kuondoka na $100 millions za walipa kodi? 😳😳

Huyo aliyetishwa asikubali rasimu ya Warioba na angalia sasa Nchi inavyohangaika kwa kutokuwa na ile katiba ya wananchi? 😳

Huyo aliyetuletea mgombea anayejiita KICHAA ambaye sasa anaiburuza Nchi atakavyo huku kukiwa na ukiukwaji mkubwa wa taratibu mbali mbali za kikatiba, kimahakama na Bunge?
😳😳
 
Sikuwahi hata siku moja kumsafisha fisadi Lowassa once a corrupt always A CORRUPT na huyo Nyalandu hata siku moja sijawahi kumsafisha na sitaanza leo kuwasafisha hao mafisadi.

Huyo huyo kawaletea mnayemchukia na akawachagulia mgombea uraisi 2015 pia.

Hizo kashfa zote hapo na mamvi alimkua nazo mkamsafisha mkitaka ushahidi na kutamba kama kweli ana kosa apelekwe mahakamani.

Anyway hapo mlipo mpo na nyalandu mmeshamsafisha na kumuona kamanda mwenzenu. SIASA HIZI DUH!
 
Nyie ndio muache ujinga kumshobokea Amsterdam. Wagombea wenu hawana umoja,mlipochukua form siku zote zile mlikua mnazifanyia nini hasa. Mna mwanasheria ina maana mlishindwa hata kukutana na kujaza pamoja kuzuia magoli ya mkono,ccm na mbinu zao sio wageni kwenu.

Kulalamika na kuwatumia wazungu kuwasaidia kuficha udhaifu wenu ni ujinga mkuu.

Wanzania wenye macho tulimaliza kuwaona 2015 mlipouza chama
Kwani kujaza form ya kugombea imekuwa mtihani? Hudhani kuwa form inatakiwa iwe ni kum-assess tu mtu kujua kama ana sifa au la? Kwa nini kuwe na technicality kwenye kujaza ilihali mnasema wagombea wanatakiwa kujua kusoma na kuandika tu? Refer issue ya bashite na vyeti feki. Kama kujaza form kunahitaji mwanasheria basi wagombea wote wa ccm waenguliwe kwa sababu hawakutumia akili zao kujaza hivyo hawapo fit mentally. By the way mbona kipindi cha Kikwete huu uenguaji wa kiwango hiki hatukuuona? Swali la mwisho, kwa nini kujaza form iwe kigezo cha kumuengua mgombea? Kwenye kujaza form lengo ni nini?
 
Mkuu umeanza kutumia simu awamu hii?kipindi cha JK wabunge walikupita bila kupingwa walikua wengi sana na social media hazikua zimekamatwa na wenye jazba,enzi zile watu walikua wanashuka nondo na kuonyesha udhaifu wa system,kipindi hiki mmebaki walalamikaji,waropokaji,mmeingia kwenye uchaguzi mkifahamu hakuna kilichobadilika badala ya nyie mmbadilike kimbinu mmebaki walalamikaji hodari

Nadhani una shida kwenye ubongo wewe mtu. Mbona unashindwa kuelewa nilichoandika? Au huna shida kwenye ubongo bali umeamua kujitoa ufahamu? Hebu soma tena nilichokiandika kisha uje na majibu kama huna shida kwenye ubongo. Ila hata usipojibu tayari nishajua tatizo lako lipo wapi hivyo nitakupuuza rasmi.
 
Wewe ndio mwenye shida. Naona umegundua mapema tatizo lako. Pole jamani
Nadhani una shida kwenye ubongo wewe mtu. Mbona unashindwa kuelewa nilichoandika? Au huna shida kwenye ubongo bali umeamua kujitoa ufahamu? Hebu soma tena nilichokiandika kisha uje na majibu kama huna shida kwenye ubongo. Ila hata usipojibu tayari nishajua tatizo lako lipo wapi hivyo nitakupuuza rasmi.
 
1599104253142.png
 
Mimi sizijui fomu zinafananaje; lakini fomu zote za kiserikali zinatakiwa zijawe na mtu yeyote anayejua kusoma na kuandika katika kiswahili au kiingereza. Kujaza vibaya fomu hizo siyo kazi ya wasimamizi wa uchaguz au wa tume, wao wajibu wao ni kufuata sheria tu. Kama zamani watu walikuwa wanafanya makosa hayo na wakaachiwa hilo ni jambo jingine kabisa kwani tunajua kuna mambo mengi mabaya yalikuwa yanafanyika nchini kinyume cha sheruia lakini sasa hivi hayafanyiki tena.
Kila anayelalamikia kuenguliwa hatoi sababu ni kwa nini ameenguliwa kwani huwa wanaambiwa kabisa kuwa fomu yake haikukidhi sheria namba fulani; wanakimbilia malalamiko ya kutafuta huruma tu.

You can't be serious dude! Kwa mantiki haya ndio maana mpaka leo tunashindwa kufanya jambo lolote la maendeleo.

Unataka kuniambia nikikosea kujaza tax return, TRA watani disqualify kama mlipa kodi kwa mwaka ule, nitaachiwa tu nikwende zangu? Wao Tume wamekosea mara ngapi kuchapisha details za watu kwenye vitambulisho na wanajipa nafasi ya kufanya marekebisho. Mbona akifa mgombea chama hupewa anaother chance? It's because the idea behind fair election is about full participation!

Jambo la.pili kubwa ni kuwa kwa vile tume si huru, nani yupo pale ku verify kuwa wanachosema tume ndicho sahihi kutokana na viambtanisho vyako? Wewe ushawahi kwenda kununuwa nyama sokoni ukapimiwa kutoka store ukaambiwa tu hiyo kg yakonq lipia? Hicho ndicho wanachofanya tume. They are not trasparent and do you know why? Because they are f*cking corrupt!
 
Hisia Mbaya tu, unasahau kuwa sheria ni msumeno! Nchi yoyote isiyofuata sheria zake ni banana republic. Huwezi kuendesha nchi inayovunja sheria zake ukategemea kuwa na maendeleo. nchi zote zilizoendelea ni wakali sana wa kutunza sheria zao. China pale wanayonga watu wanaovunja sheria kama nguruwe tu.

Unataka kusema kuwa iwapo ulikuwa na mapato ya Sh1000 lakini ukajaza fomu yako ya kodi kuwa ulikuwa na mapato ya $100 utajitetea kuwa hilo ni kosa dogo TRA wasikuchukulie hatua ya unadanganyifu? Kumbuka kuwa fomu za serikali zinafungwa na declaration under the penalty of perjury kuwa ulichoandika ni sahihi; sasa kikiwa na makosa utachukuliwa kuwa umedanganya. Sheria ina outcomes mbili tu; kutekelezwa na kutokutekelezwa, hamna intermediate result. Ukishahsindwa kutekeleza sheria, basi subiri hukumu.
 
Back
Top Bottom