Open Letter: Rais Samia, TRA isiyo na Support yako, ni Kifo cha Taifa

August

JF-Expert Member
Jun 18, 2007
6,980
2,000
Mhe Rais, naomba utumie dakika chache kusoma barua hii wewe mwenyewe, na kama hautapata muda naomba wasaidizi wako wakusaidie kuusoma na kukufikikishia.

Naandika haya kama Raia aliye na wasiwasi baada ya kutafakari kwa kina juu ya "TONE" yako uliyokwishaitoa hadharani kuhusu taasisi hii nyeti inayokusanya mapato ya nchi.

Pia ni baada ya kukaa na baadhi ya maafisa kodi ambao wanakiri kwamba toka kauli yako kazi yao imekuwa ngumu kupindukia. Na wanasema kabisa wamekaa benchi tu wanasikilizia!!!.

Mhe. Rais, kwa sasa kuna mambo makuu mawili yanayotokea ambayo sidhani kama umeshayajua.

i) Wafanyabiashara wameacha kutoa risiti za EFD na ukiwadai wanasema kabisa WASISUMBULIWE maana Rais wao ameshatoa maelekezo hayo. Wapo HOLIDAY!!.

Hata TRA wenyewe wamecancel mazoezi ya ku-enforce utoaji risiti. Maana wanajua wakienda watabagazwa!

Swali kubwa hapa, Je, Kodi gani itakusanywa na nchi bila watu kutoa risiti? Unawezaje kutrack mauzo ya mlipa kodi bila kutoa risiti ya EFD?

ii) Wafanyabiashara hawapeleki tena malipo ya kodi kwa kama kasi ya awali, kila mmoja ameset mind ya kupinga kodi maana anaona kama kile alichokadiriwa si sahihi baada ya kauli ya Rais.

Wataalam wenyewe wanasema impact yake itaonekana katika taarifa za mapato mwezi huu na ijayo!.

Mhe Rais, katika taasisi zote chini yako zinazohitaji Top Level Presidential Support ya moja kwa moja ni Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA). Bila TRA yenye support ya Rais, Taifa linakufa, na hakika litashindwa kufikia malengo yake.

Ni sawa na katika taasisi za kawaida, kitengo ambacho kinaleta mapato kwa taasisi, ndicho Mkurugenzi Mkuu hukitolea macho na kukipa support yote inayohitajika ili aweze kufikia malengo yake kibiashara.

Mhe Rais, sitaki kurejea katika maagizo yako ya nyuma kuhusu namna TRA wanavyofanya kazi ambayo uliyatoa hadharani, ila ningekuwa mmoja wa washauri wako ningeshauri usiongee sentensi zile hadharani bali uongee moja kwa moja na Viongozi na Wafanyakazi wa TRA indoors.

Kwa nini??. Kwa sababu nature ya mfanyabiashara ni kulalamika na kuficha mapato yake halisi. Hakuna mfanyabiashara hata mmoja aliye genuine ya kipato chake, Popote duniani. Hakuna!

Mhe. Rais, unaweza kukuta mfanyabiashara anafanya biashara yenye mauzo ya Billioni 2 anadeclare faida ya milioni 4, Seriously?

Katika mazingira hayo unahitaji Taasisi yenye nguvu na mamlaka ili iweze kutafuta wapi mtu huyu alipodanganya ili Serikali iweze kukusanya kodi yake. Otherwise, utachukua hio hio Milioni 4 alafu maisha yanaendelea wakati kwa hakika labda mtu huyo alipaswa kulipa milioni 50.

Mwisho:
Natambua kupitia maneno ya Makamu wako, Mhe. Mpango, umeweka malengo ya Trillion 2 kwa Mwezi, lakini ukweli ni kwamba hata kama sheria zitabadilika na baadhi ya kodi kupungua lazima kuna nyingine zitapanda ili kufikia lengo la Trillion 2. Sasa nani atatumika kuenforce ukusanyaji huo? Je ni hao hao TRA? Je wataweza ku-enforce huo ukusanyaji bila support yako? Au kuna watu wanaku-sabotage ili ushindwe kufikia malengo hayo?.

Naomba kuhitimisha kwa kukushukuru kwa muda wako.

Wako,
Raia aliye na wasiwasi.
15 April, 2021

Nakala:
Mhe Makamu wa Rais
Mhe Waziri Mkuu
Mhe Waziri wa Fedha
Kamishna wa TRA.
Nashukuru sana kwa barua yako, ni vizuri akajua chanzo cha serikali kuchukua hatua ilizochukua na pili afuatilie historia ya nchi, kuhusu ulipaji kodi, na ukwepaji wa kumbukumbu, na pia kama anaona wa Tz uwezo huo hawana wa kujua jinsi ya kukabiliana na suala hili is kodi aombe ushauri wa pwc, au nchi kama UK , hii mifumo wanayoweka au walioweka wenzetu ndio inayosaidia, ukusanyaji wa kodi, sasa sisi tumechelewa, badala ya kukumbia kulifikia lengo husika tuna rudi nyuma, halafu tutakuja kulaumiana tena , kwa kudai kodi zaidi ya miaka 5.
Na viongozi wetu wakiwa wanasikiliza hadithi za wafanya biashara iwe kodi au wafanyakazi wa kigeni awaambie tu , malalamiko yenu nimesikia nitaweza washauri wangu , ili ajue na ya upande wa pili yakoje.
Sasa inawezekana amemtoa Bure aliyekuwa commissioner general wa tra.

What's the maximum penalty for tax evasion in the UK? The penalty for tax evasion can be anything up to 200% of the tax due and can even result in jail time. For example, evasion of income tax can result in 6 months in prison or a fine up to £5,000, with a maximum sentence of seven years or an unlimited fine.

tax avoidance—An action taken to lessen tax liability and maximize after-tax income.

tax evasion—The failure to pay or a deliberate underpayment of taxes. underground economy—Money-making activities that people don't report to the government, including both illegal and legal activities.
 
Kilatha

JF-Expert Member
Nov 28, 2018
3,587
2,000
Akili za watanzania waachie wenyewe ipe wakati miezi michache mbele utaona mada humu za watu kulalamika mishahara imechelewa na hiyo miradi kama inategemea mikopo kuna phase zitasimama kwa sababu soon tutakuwa atuaminiki tena na wakopeshaji.

Wala sio uganga hilo jambo linakuja soon, mama anadhani maswala ya kodi ni mzaha mzaha, wa kusikiliza story za kwenye social media.
 
Bila bila

JF-Expert Member
Dec 20, 2016
13,270
2,000
Mhe Rais, naomba utumie dakika chache kusoma barua hii wewe mwenyewe, na kama hautapata muda naomba wasaidizi wako wakusaidie kuusoma na kukufikikishia.

Naandika haya kama Raia aliye na wasiwasi baada ya kutafakari kwa kina juu ya "TONE" yako uliyokwishaitoa hadharani kuhusu taasisi hii nyeti inayokusanya mapato ya nchi.

Pia ni baada ya kukaa na baadhi ya maafisa kodi ambao wanakiri kwamba toka kauli yako kazi yao imekuwa ngumu kupindukia. Na wanasema kabisa wamekaa benchi wanasikilizia!!

Mhe. Rais, kwa sasa kuna mambo makuu mawili yanayotokea ambayo sidhani kama umeshayajua.

i) Wafanyabiashara wameacha kutoa risiti za EFD na ukiwadai wanasema kabisa WASISUMBULIWE maana Rais wao ameshatoa maelekezo hayo. Wapo HOLIDAY!!.

Hata TRA wenyewe wamecancel mazoezi ya ku-enforce utoaji risiti. Maana wanajua wakienda watabagazwa!

Swali kubwa hapa, Je, Kodi gani itakusanywa na nchi bila watu kutoa risiti? Unawezaje kutrack mauzo ya mlipa kodi bila kutoa risiti ya EFD?

ii) Wafanyabiashara hawapeleki tena malipo ya kodi kwa kama kasi ya awali, kila mmoja ameset mind ya kupinga kodi maana anaona kama kile alichokadiriwa si sahihi baada ya kauli ya Rais.

Wataalam wenyewe wanasema impact yake itaonekana katika taarifa za mapato mwezi huu na ijayo!.

Mhe Rais, katika taasisi zote chini yako zinazohitaji Top Level Presidential Support ya moja kwa moja ni Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA). Bila TRA yenye support ya Rais, Taifa linakufa, na hakika litashindwa kufikia malengo yake.

Ni sawa na katika taasisi za kawaida, kitengo ambacho kinaleta mapato kwa taasisi, ndicho Mkurugenzi Mkuu hukitolea macho na kukipa support yote inayohitajika ili aweze kufikia malengo yake kibiashara.

Mhe Rais, sitaki kurejea katika maagizo yako ya nyuma kuhusu namna TRA wanavyofanya kazi ambayo uliyatoa hadharani, ila ningekuwa mmoja wa washauri wako ningeshauri usiongee sentensi zile hadharani bali uongee moja kwa moja na Viongozi na Wafanyakazi wa TRA indoors.

Kwa nini??. Kwa sababu nature ya mfanyabiashara ni kulalamika na kuficha mapato yake halisi. Hakuna mfanyabiashara hata mmoja aliye genuine ya kipato chake, Popote duniani. Hakuna!

Mhe. Rais, unaweza kukuta mfanyabiashara anafanya biashara yenye mauzo ya Billioni 2 anadeclare faida ya milioni 4, Seriously?

Katika mazingira hayo unahitaji Taasisi yenye nguvu na mamlaka ili iweze kutafuta wapi mtu huyu alipodanganya ili Serikali iweze kukusanya kodi yake. Otherwise, utachukua hio hio Milioni 4 alafu maisha yanaendelea wakati kwa hakika labda mtu huyo alipaswa kulipa milioni 50.

Mwisho:
Natambua kupitia maneno ya Makamu wako, Mhe. Mpango, umeweka malengo ya Trillion 2 kwa Mwezi, lakini ukweli ni kwamba hata kama sheria zitabadilika na baadhi ya kodi kupungua lazima kuna nyingine zitapanda ili kufikia lengo la Trillion 2. Sasa nani atatumika kuenforce ukusanyaji huo? Je ni hao hao TRA? Je wataweza ku-enforce huo ukusanyaji bila support yako? Au kuna watu wanaku-sabotage ili ushindwe kufikia malengo hayo?.

Naomba kuhitimisha kwa kukushukuru kwa muda wako.

Wako,
Raia aliye na wasiwasi.
15 April, 2021

Nakala:
Mhe Makamu wa Rais
Mhe Waziri Mkuu
Mhe Waziri wa Fedha
Kamishna wa TRA.

Nyongeza muhimu kutoka kwa mmoja wa walioelewa mada
Kuanzia Leo sitawasema vibaya Polisi kumbe wana akili kuliko TRA. Polisi wanaambiwa mara kwa mara hata majukwaani, acheni kubambikia watu kesi na kukamata kwa dhuluma, mnakula sana rushwa kwa Wananchi. Lakini sijawahi kusikia Polisi anajitokeza kusema "mnatusema sana hatutakamata tena Majambazi". Lakini hawa wapenda sifa za kuambiwa wamevuka lengo kwenye makaratasi, wameguswa tu wanasusa kazi.
 
nguruka wa kig0ma

JF-Expert Member
Jan 16, 2020
2,051
2,000
Mhe Rais, naomba utumie dakika chache kusoma barua hii wewe mwenyewe, na kama hautapata muda naomba wasaidizi wako wakusaidie kuusoma na kukufikikishia.

Naandika haya kama Raia aliye na wasiwasi baada ya kutafakari kwa kina juu ya "TONE" yako uliyokwishaitoa hadharani kuhusu taasisi hii nyeti inayokusanya mapato ya nchi.

Pia ni baada ya kukaa na baadhi ya maafisa kodi ambao wanakiri kwamba toka kauli yako kazi yao imekuwa ngumu kupindukia. Na wanasema kabisa wamekaa benchi wanasikilizia!!

Mhe. Rais, kwa sasa kuna mambo makuu mawili yanayotokea ambayo sidhani kama umeshayajua.

i) Wafanyabiashara wameacha kutoa risiti za EFD na ukiwadai wanasema kabisa WASISUMBULIWE maana Rais wao ameshatoa maelekezo hayo. Wapo HOLIDAY!!.

Hata TRA wenyewe wamecancel mazoezi ya ku-enforce utoaji risiti. Maana wanajua wakienda watabagazwa!

Swali kubwa hapa, Je, Kodi gani itakusanywa na nchi bila watu kutoa risiti? Unawezaje kutrack mauzo ya mlipa kodi bila kutoa risiti ya EFD?

ii) Wafanyabiashara hawapeleki tena malipo ya kodi kwa kama kasi ya awali, kila mmoja ameset mind ya kupinga kodi maana anaona kama kile alichokadiriwa si sahihi baada ya kauli ya Rais.

Wataalam wenyewe wanasema impact yake itaonekana katika taarifa za mapato mwezi huu na ijayo!.

Mhe Rais, katika taasisi zote chini yako zinazohitaji Top Level Presidential Support ya moja kwa moja ni Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA). Bila TRA yenye support ya Rais, Taifa linakufa, na hakika litashindwa kufikia malengo yake.

Ni sawa na katika taasisi za kawaida, kitengo ambacho kinaleta mapato kwa taasisi, ndicho Mkurugenzi Mkuu hukitolea macho na kukipa support yote inayohitajika ili aweze kufikia malengo yake kibiashara.

Mhe Rais, sitaki kurejea katika maagizo yako ya nyuma kuhusu namna TRA wanavyofanya kazi ambayo uliyatoa hadharani, ila ningekuwa mmoja wa washauri wako ningeshauri usiongee sentensi zile hadharani bali uongee moja kwa moja na Viongozi na Wafanyakazi wa TRA indoors.

Kwa nini??. Kwa sababu nature ya mfanyabiashara ni kulalamika na kuficha mapato yake halisi. Hakuna mfanyabiashara hata mmoja aliye genuine ya kipato chake, Popote duniani. Hakuna!

Mhe. Rais, unaweza kukuta mfanyabiashara anafanya biashara yenye mauzo ya Billioni 2 anadeclare faida ya milioni 4, Seriously?

Katika mazingira hayo unahitaji Taasisi yenye nguvu na mamlaka ili iweze kutafuta wapi mtu huyu alipodanganya ili Serikali iweze kukusanya kodi yake. Otherwise, utachukua hio hio Milioni 4 alafu maisha yanaendelea wakati kwa hakika labda mtu huyo alipaswa kulipa milioni 50.

Mwisho:
Natambua kupitia maneno ya Makamu wako, Mhe. Mpango, umeweka malengo ya Trillion 2 kwa Mwezi, lakini ukweli ni kwamba hata kama sheria zitabadilika na baadhi ya kodi kupungua lazima kuna nyingine zitapanda ili kufikia lengo la Trillion 2. Sasa nani atatumika kuenforce ukusanyaji huo? Je ni hao hao TRA? Je wataweza ku-enforce huo ukusanyaji bila support yako? Au kuna watu wanaku-sabotage ili ushindwe kufikia malengo hayo?.

Naomba kuhitimisha kwa kukushukuru kwa muda wako.

Wako,
Raia aliye na wasiwasi.
15 April, 2021

Nakala:
Mhe Makamu wa Rais
Mhe Waziri Mkuu
Mhe Waziri wa Fedha
Kamishna wa TRA.

Nyongeza muhimu kutoka kwa mmoja wa walioelewa mada
Yaani wewe utoporo hasa.
Nakala hupekekwa juu ili wachini asipotatua unaenda juu ulikopeleka nakala ili kumuuliza wa chini kwanini hajafanya?

Umemwandikia Rais, nakala makamu wake na waziri mkuu, Rais asipofuata ushauri wako wamfanyeje?
 
Fursa Pesa

JF-Expert Member
May 30, 2012
3,804

Nyongeza muhimu kutoka kwa mmoja wa walioelewa mada 👇
Biashara ni hesabu ya kilichoingia, kilichopo dukani /stoo na kinachouzwa.
Hesabu ipo wazi mtu asipotoa stakabadhi ya manunuzi,TRA wataangalia stock na nini mtu huyo aliagiza ili waoanishe na kodi.
TRA kwa sasa wajikite na stock za wafanyabiashara na nini wanaagiza kina thamani gani /kinauzwaje ikiwezekana kutoa bei elekezi kwa wananchi.
 
Kilatha

JF-Expert Member
Nov 28, 2018
3,587
2,000
Miaka mitano ya Magufuli atujaona IMF wala WB kuja kukutana na wizara ya fedha kisa wasiwasi wa nchi kuweza kulipa madeni yake kutokana na makusanyo madogo ya kodi kama ilivyozoeleka zama za JK. If anything walikuwa hawana shida kumkopesha.

Huko baadae mambo yakienda mrama wasitafute mchawi mwingine Magufuli sijui alikopa sana, la hasha matatizo haya wakubali tu huko mbele wameyatengeneza wao.
 
Donyongijape

JF-Expert Member
May 28, 2010
1,486
1,750
Biashara ni hesabu ya kilichoingia, kilichopo dukani /stoo na kinachouzwa.
Hesabu ipo wazi mtu asipotoa stakabadhi ya manunuzi,TRA wataangalia stock na nini mtu huyo aliagiza ili waoanishe na kodi.
TRA kwa sasa wajikite na stock za wafanyabiashara na nini wanaagiza kina thamani gani /kinauzwaje ikiwezekana kutoa bei elekezi kwa wananchi.
Yani crude method ya aina hii? Really? Badala ya kuenforce risiti ili upate taarifa kila kitu at a go Online unawaza kurudi nyuma. Duh

Hii method sidhan kama hata ishawahi tumika popote 😄. Na tukifika hapo badala ya Taifa kufa, litakuwa lishaoza
 
August

JF-Expert Member
Jun 18, 2007
6,980
2,000
... kodi itozwe lakini isiwe kodi ya kukomoa wananchi na wafanyabiashara kwa ujumla! Hiyo ndiyo hoja ya msingi.
Utatozaje kodi kwa mtu asiyeweka kumbukumbu za manunuzi, mauzo, n.k , inabidi umbembeleze na kuchukua siku au week ya kazi mkibembelezana badala ya saa 1 au nusu saa.
 
May Day

JF-Expert Member
May 18, 2018
4,089
2,000
Andika barua nyingine kwenda kwa Mkuu wa TRA, ukimsihi kama hawezi na hana weledi wa kukusanya kodi apishe watakaoweza....asing'ang'anie na kubaki ananung'unuka kama hawezi.
 
Habdavi

JF-Expert Member
Mar 5, 2011
561
500
Tatizo naona ni kwamba wafanyabiashara wengi kutotumia wahasibu katika kutunza na kuandaa nyaraka mbalimbali ambazo ndio msingi wa kukadiriwa kodi. Muajiri wahasibu ambao ni qualified hutakaa ukwaruzane na mamlaka za kukusanya kodi.
 
MTK

JF-Expert Member
Apr 19, 2012
8,459
2,000
Mhe Rais, naomba utumie dakika chache kusoma barua hii wewe mwenyewe, na kama hautapata muda naomba wasaidizi wako wakusaidie kuusoma na kukufikikishia.

Naandika haya kama Raia aliye na wasiwasi baada ya kutafakari kwa kina juu ya "TONE" yako uliyokwishaitoa hadharani kuhusu taasisi hii nyeti inayokusanya mapato ya nchi.

Pia ni baada ya kukaa na baadhi ya maafisa kodi ambao wanakiri kwamba toka kauli yako kazi yao imekuwa ngumu kupindukia. Na wanasema kabisa wamekaa benchi wanasikilizia!!

Mhe. Rais, kwa sasa kuna mambo makuu mawili yanayotokea ambayo sidhani kama umeshayajua.

i) Wafanyabiashara wameacha kutoa risiti za EFD na ukiwadai wanasema kabisa WASISUMBULIWE maana Rais wao ameshatoa maelekezo hayo. Wapo HOLIDAY!!.

Hata TRA wenyewe wamecancel mazoezi ya ku-enforce utoaji risiti. Maana wanajua wakienda watabagazwa!

Swali kubwa hapa, Je, Kodi gani itakusanywa na nchi bila watu kutoa risiti? Unawezaje kutrack mauzo ya mlipa kodi bila kutoa risiti ya EFD?

ii) Wafanyabiashara hawapeleki tena malipo ya kodi kwa kama kasi ya awali, kila mmoja ameset mind ya kupinga kodi maana anaona kama kile alichokadiriwa si sahihi baada ya kauli ya Rais.

Wataalam wenyewe wanasema impact yake itaonekana katika taarifa za mapato mwezi huu na ijayo!.

Mhe Rais, katika taasisi zote chini yako zinazohitaji Top Level Presidential Support ya moja kwa moja ni Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA). Bila TRA yenye support ya Rais, Taifa linakufa, na hakika litashindwa kufikia malengo yake.

Ni sawa na katika taasisi za kawaida, kitengo ambacho kinaleta mapato kwa taasisi, ndicho Mkurugenzi Mkuu hukitolea macho na kukipa support yote inayohitajika ili aweze kufikia malengo yake kibiashara.

Mhe Rais, sitaki kurejea katika maagizo yako ya nyuma kuhusu namna TRA wanavyofanya kazi ambayo uliyatoa hadharani, ila ningekuwa mmoja wa washauri wako ningeshauri usiongee sentensi zile hadharani bali uongee moja kwa moja na Viongozi na Wafanyakazi wa TRA indoors.

Kwa nini??. Kwa sababu nature ya mfanyabiashara ni kulalamika na kuficha mapato yake halisi. Hakuna mfanyabiashara hata mmoja aliye genuine ya kipato chake, Popote duniani. Hakuna!

Mhe. Rais, unaweza kukuta mfanyabiashara anafanya biashara yenye mauzo ya Billioni 2 anadeclare faida ya milioni 4, Seriously?

Katika mazingira hayo unahitaji Taasisi yenye nguvu na mamlaka ili iweze kutafuta wapi mtu huyu alipodanganya ili Serikali iweze kukusanya kodi yake. Otherwise, utachukua hio hio Milioni 4 alafu maisha yanaendelea wakati kwa hakika labda mtu huyo alipaswa kulipa milioni 50.

Mwisho:
Natambua kupitia maneno ya Makamu wako, Mhe. Mpango, umeweka malengo ya Trillion 2 kwa Mwezi, lakini ukweli ni kwamba hata kama sheria zitabadilika na baadhi ya kodi kupungua lazima kuna nyingine zitapanda ili kufikia lengo la Trillion 2. Sasa nani atatumika kuenforce ukusanyaji huo? Je ni hao hao TRA? Je wataweza ku-enforce huo ukusanyaji bila support yako? Au kuna watu wanaku-sabotage ili ushindwe kufikia malengo hayo?.

Naomba kuhitimisha kwa kukushukuru kwa muda wako.

Wako,
Raia aliye na wasiwasi.
15 April, 2021

Nakala:
Mhe Makamu wa Rais
Mhe Waziri Mkuu
Mhe Waziri wa Fedha
Kamishna wa TRA.

Nyongeza muhimu kutoka kwa mmoja wa walioelewa mada
That is gross misconception ya kauli ya Rais! Rais alitamka bayana kwamba Mapato tunayahitaji lakini mapato ya dhuluma HAPANA!!! Kuenforce matumizi ya EFD ni sawa kwa kuwa inatokana na mauzo halali, kumdai mtu kodi ya miaka 5 nyuma wakati ana taxi clearance ni dhuluma, kufunga akauntinza watu baada ya kuzikwangua ni haramu, kodi kukusanywa na Takukuru kwa bunduki na kubambikiza kesi za utakatishaji pesa ni dhuluma! Hayo ndio SASHA anayoyakataa, waende wakakusanye kodi kwa weledi, wakimuhujuku Rais WATAZINGULIWA maana wafanyakazi wa TRA tunawajua, ni majizi yaliyohalalishwa!
 
Donyongijape

JF-Expert Member
May 28, 2010
1,486
1,750
Nashukuru sana kwa barua yako, ni vizuri akajua chanzo cha serikali kuchukua hatua ilizochukua na pili afuatilie historia ya nchi, kuhusu ulipaji kodi, na ukwepaji wa kumbukumbu, na pia kama anaona wa Tz uwezo huo hawana wa kujua jinsi ya kukabiliana na suala hili is kodi aombe ushauri wa pwc, au nchi kama UK , hii mifumo wanayoweka au walioweka wenzetu ndio inayosaidia, ukusanyaji wa kodi, sasa sisi tumechelewa, badala ya kukumbia kulifikia lengo husika tuna rudi nyuma, halafu tutakuja kulaumiana tena , kwa kudai kodi zaidi ya miaka 5.
Na viongozi wetu wakiwa wanasikiliza hadithi za wafanya biashara iwe kodi au wafanyakazi wa kigeni awaambie tu , malalamiko yenu nimesikia nitaweza washauri wangu , ili ajue na ya upande wa pili yakoje.
Sasa inawezekana amemtoa Bure aliyekuwa commissioner general wa tra.

What's the maximum penalty for tax evasion in the UK? The penalty for tax evasion can be anything up to 200% of the tax due and can even result in jail time. For example, evasion of income tax can result in 6 months in prison or a fine up to £5,000, with a maximum sentence of seven years or an unlimited fine.

tax avoidance—An action taken to lessen tax liability and maximize after-tax income.

tax evasion—The failure to pay or a deliberate underpayment of taxes. underground economy—Money-making activities that people don't report to the government, including both illegal and legal activities.
Thanks
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom