Open Govt Survey report: Serikali ya Kikwete/Tanzania haitaki uwazi!

arigold

JF-Expert Member
Jun 23, 2011
600
341
Hawa wazungu kiboko

JK kaenda kuonana nao huko uingereza na wakampa platform kisha wakatoa ripoti inayoonyesha kuwa serikali ya Tanzania ni kikwazo kwa demokrasia

Ripoti hii hapa

attachment.php


Wakati huo huo Kenya imerank ya kwanza kwa uwazi Afrika

Sasa tatizo letu sisi ni nini?
 

Attachments

  • Open-Data-Barometer-2013-Global-Report.pdf
    4.5 MB · Views: 46
  • ODB.jpg
    ODB.jpg
    20.3 KB · Views: 160
Kwa serikali hii iliyopo inayo jua kuimba wimbo wa utawala bora ila vitendo vyake tofauti na utawala bora sio kitu cha ajabu kwao Rais kukutana na jambo kama hilo.

Watawala wetu wanajitumikia wao wenyewe binafsi baadala ya kutumikia wana nchi ndio maana habari za ufisadi au uhujumu uchumi hazi ishi ndani ya serikali na nchi kwa ujumla.

Maranyingi serikali yetu imekuwa ikikutana na vitu vya aina hiyo kutoka mataifa ya nje. Mfano mataifa waisani wanao changia bajeti yetu, wame kuwa waki ikosoa sana serikali yetu kalibuni kila mwaka.
 
Back
Top Bottom