Oparesheni za Kijasusi zilizofanikiwa zaidi katika Historia

Mkuu The bold nashukulu sana unatia vitu adhimu kabisa. Nilipotea kidogo nimerudi nimekutana na vigongo, ila sasa vingine umetupia kwenye tovuti, naomba unipatie hiyo tovuti tukaendeleze kupata chakula cha ubongo.
 
Hadi anuani ya blog wameiban ukikopi na kupaste inakuja nyota nyota webpage haipatikani
Mkuu,hebu niwekee hata kwa kuchomekeachomea alama ili tu niipate hiyo anwani ya The bold maana naikumbukakumbuka kidogo,then ntatumia web nyingine kumsaka.

JF nao wameshafanya wasioshaurika ili wamsamehe mshikaji.
 
Our people,

Asanteni sana kwa ushirikiano mliouonesha jana kuhusiana na suala hili la ban aliyopigwa The bold.

Was epic! Sikuwahi kufikiri kama watu mnatuelewa na kutupenda namna hii. Mliivamia PM na WhatsApp kiasi nilichoka hadi nikashindwa kuaga usiku wa jana kama nilivyoahidi.

Again,nawashukuru nyote mliotutafuta kutupa moyo,nawashukuru nyote mlioonesha kuguswa na hili.

Jana nimetafakari sana utetezi waliouleta JF. Halafu baada ya utetezi wakaufunga uzi,wakaufungua,wakaufunga tena na kufuta comments nyingi sana,sawa.

Ninachoweza kusema ban hii imetolewa kwa 'mihemuko'! Haiingii akilini 'kosa' (kama wanavyosema wao) la kuweka link lipelekee mtu kupigwa ban ya miezi minne kasoro!
From 2nd July to 18th October!

Maana kama kosa ndio hilo kulikuwa na haja gani ya kuufunga uzi aliokuwa akihojiwa?
Huu si ndio udikteta tunaoupigia kelele humu?
Huwezi ukampiga mtu ban kwa 'kosa' la kuweka link na ufunge uzi aliokuwa akihojiwa halafu useme ukweli unapotoshwa!

Jana nilitoa ahadi,na daima husimamia kile ninachokiahidi. (Nina msimamo mkali kuliko Hayati Gaddafi lol)
Naungana na mwenzangu ktk ban yake ya miezi minne.
Kubaki kwangu mimi hapa ni kuunga mkono udhalimu aliofanyiwa.

Huu ni ujumbe wangu wa mwisho hadi hapo atakapofunguliwa Bold,in fact hakuna atakayebaki huku milele ila maandiko yetu.
Na hata maandiko yetu yakifutwa humu naamini hayatoweza kufutwa mioyoni mwenu.


#TUONANEOCTOBER18#

Nifah

Yeyote atakayehitaji kuwasiliana nasi atutafute kupitia namba hizi 0718 096 811.

Kwaherini
Soon u'll be back
 
[HASHTAG]#where[/HASHTAG] is the bold?

Kama kuna group ya whatsapp ya kupata story zake za kijasusi etc naombeni mwenye kujua taratibu za kwenda huko anisaidie nimpe namba aniadd

Niliskia alipewa ban nimemis stories zake honestly

Cc
Niffah
Mshana Jr.
Na wakongwe wengine humu
 
Back
Top Bottom