Tetesi: : Oparasheni Mpunguti yatangazwa Kyela ,sasa ni kichapo kisicho na kikomo

Kabinti ka ludilo

JF-Expert Member
Sep 30, 2014
409
461
Wakuu! Heshima kwenu

Kyela tetesi nilizo nazo ni barua rasmi kutangaza oparation mpunguti. Barua itakayomfikia mkurugenzi huyo inataka halmashauri kugharamia Askari kwa chakula na malazi mpaka mwisho wa oparation.

Jana oparation hiyo ilitanua mipaka yake ambapo wakazi wa Kijiji cha ipinda nusu maili kutoka mpunguti walilazimika kufunga nyumba zao baada ya ya Askari kuvamia mitaa yao.

Nimepenyezewa hapa mpaka Busokelo amani hakuna kutokana na doria ya Jana mitaa ya huko.
Nilifika Kijiji cha Mpunguti huko watoto wanalia wazazi wao hawaonekani hali ni tete kyela.


download (3).jpeg
 
Hamuwezi kumvunjia Heshima DC, M/ Kiti wa committee ya Ulinzi na usalama, Mteule wa Rais wa Jamhuri ya Muungano Af Mkabaki salama
 
Daaaa, sipati picha wanaume wazima kuhama nyumba daaa na wamama kuacha watoto hahahaaa aseee..!!
 
Back
Top Bottom