Oooh, MALEMA ni mtifuano wa kisiasa au kweli?sasa ana kesi ya kukwepa kodi

Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,730
1,201
Jamani hili la malema kusema anakwepa kodi linatia shaka,
katika kipindi cha dira ya dunia imeripotiwa kuwa MAMLAKA YA MAPATO YA SOUZI INAJIANDAA KUMSHTAK MALEMA KWA KUKWEPA KODI
 
Inawezekana nao siasa zao hazitofautiani na za ccm!

yaan nimeshtuka,sikutegemea kusikia hili kwa nchi kama sauzi,,,,,ila ule mgomo wa miners umewatia hasara sana makaburu na umemtia hasara ZUMA,
NA pia wanasema watamshtak kwa kosa la kuhamasisha mgomo wa miners
 
Malema amekuwa anachunguzwa toka mwaka jana wakati gazeti la CityPress lilipochapisha mapato yake na kampuni yake ya Ratanang Trusts imekuwa inapewa fedha na wafanyabiashara ambao wengi wao inasemekana Malema aliwapigia chapuo wapate tenda huko kwao Limpopo. Kiukweli Malema anaishi maisha ya kifahari tofauti na kipato chake halisi.
 
Alizidi kidomodomo...lazima watamfix tu. Angejua kuji control mambo yasingeishia huko.
 
"He did not answer calls from the FT. An answer message on his mobile phone said: "At the end of everything else we will not remember the words uttered by the enemy against us, but we will remember the silence of our friends during these difficult times. Never surrender, never retreat, victory is certain."" - Malema silent amid reports of graft warrant - FT.com
 
Atakuwa amekwepa tu, tusubiri evidence zitakazotolewa, lakini sio jambo la ajabu na katika hili hachomoki..
 
"He did not answer calls from the FT. An answer message on his mobile phone said: "At the end of everything else we will not remember the words uttered by the enemy against us, but we will remember the silence of our friends during these difficult times. Never surrender, never retreat, victory is certain."" - Malema silent amid reports of graft warrant - FT.com

Malema na domo kubwa vile kakaa kimya? Mhhh!
 
Huo ndo unaweza ukawa mwisho wake, au ndo kuibuka upya, lakini posibilities za kufa kisiasa ni kubwa sana kwa sasa!
 
Back
Top Bottom