<ooo> MMU: Kundi la Waliovunjika Mioyo Au Washauri?

mmu kama vilivyo vyombo vya habari inaburudisha,kufahamisha na kuelemisha.
Humu mmu unaweza kuingia na simanzi ukapata faraja,lakini pia unaweza kuingia kwa raha zako ukaishia kuwa 'rattled'.
suffice to say mmu imewasaidia watu wengi kuwapa mwongozo katika maisha yao binafsi baada ya kuyamwaga jamvini.More importantly kuna ambao wamepata marafiki na hata wachumba humu ndani.
Mwenzetu vipi kupitia mmu hujafahamiana physically na memba yeyote? Mi tayari nafahamiana na Husninyo(mtoto mzuri ni hatari) na Aspirin(ana sura mbaya utadhani kagongwa na treni) na TF (kumbe ni kibabu).[/QUOTE]

Mweeehhh shemeji ngoja waje wenyewe................
ndo wanamalizia kupiga picha zao original,kuzi scan na kuzi post hapa,we subiri tu.
 
Yani MMU ni sehemu yangu ya maisha,nimeijua jf kupitia MMU,niliisoma MMu kwa mara ya kwanza mwaka jana desemba nikiwa kwenye lindi kubwa la mawazo na machozi yaliyokuwa yamedumu kwa siku tatu lkn yalikauka kwa masaa kadhaa niliyosoma humu,na mwaka huu nikaamua rasmi kuwa member na mie ni mmojawapo ya waliopitia maumivu ya kutendwa na safari ya kurecover ikaanza na sasa niko poa kbs na maisha nayaona burdan,hata km atabisha mtu, members wa humu wote ni madokta wa matatizo ya mahusiano haijalishi wako kwenye kutendwa,wanarecover au wako happy na mahusiano,MMU oyeeeeeee!
 
MMU ni watu walotoka katika jamii hio hio ambayo unaishi... Jamii ambayo no matter wee ni nani na una umri gani mradi ushafika umri wa kua na mahusiano basi wee ni mhanga wa all its related aspects.... Kufurahia mapenzi, machungu, kuvunjika, kutendwa, kutongoza, kufumania... na mambo kibao yahusuyo MAPENZI.... Haya ni mambo yanafanyika kila dakika. Na sababu hili ndo jukwa husika la kujimwaya na mambo hayo basi daima miaka nenda rudi hizi topics haziwezi badilika sababu leo huyu, kesho yule mradi siku zinaenda.....
swadakta binti mujjarab!
 
Kwa heshima ya Obuntu ambaye sredi zake huwa ni marufuku kuchakachuliwa, kuna mtu anaweza akaniambia leo ni Jumangapi na sheria za JF zinasemaje kwa watu wanaochakachua sredi siku ambayo si Ijumaa?

Pokeeni salamu toka kwa Jamhuri Kiwelu ambaye nimetoka kumuuzia zile raba mtoni nilizowaambieni zimenibana.

Baada ya kusema hayo, naomba mumwambie Obuntu kuwa ametuzalilisha sana wanachama hai na wa kudumu wa MMU.
Tumesubutu
Tumefanya
Tumeweza
Na tunaendelea na kuendelea kusubutu na kufanya.

Wote semeni AMINA.

Eimen!
 
Yani MMU ni sehemu yangu ya maisha,nimeijua jf kupitia MMU,niliisoma MMu kwa mara ya kwanza mwaka jana desemba nikiwa kwenye lindi kubwa la mawazo na machozi yaliyokuwa yamedumu kwa siku tatu lkn yalikauka kwa masaa kadhaa niliyosoma humu,na mwaka huu nikaamua rasmi kuwa member na mie ni mmojawapo ya waliopitia maumivu ya kutendwa na safari ya kurecover ikaanza na sasa niko poa kbs na maisha nayaona burdan,hata km atabisha mtu, members wa humu wote ni madokta wa matatizo ya mahusiano haijalishi wako kwenye kutendwa,wanarecover au wako happy na mahusiano,MMU oyeeeeeee!
nani alikutenda nimchape!
 
Wenzako hapa ndio mahali pa kuchati na kuondoa stress za kazi na maisha.Niliifahamu JF mwaka jana wakati wa kampeni na nikawa naingia kwenye siasa kuchungulia maoni ya wadau.Lakini tangu niligundue jukwaa hili niliamua kujiunga na hata siangaiki na majukwaa mengine.NI party ya familia,haipiti siku mbilli bila kuchungulia hapa.
 
TF na Bishanga mnaanza kuchakachua thread ya Obuntu. Halafu watu wanaoanzisha thread na kuondoka huwa sielewi kabisa
 
Yani MMU ni sehemu yangu ya maisha,nimeijua jf kupitia MMU,niliisoma MMu kwa mara ya kwanza mwaka jana desemba nikiwa kwenye lindi kubwa la mawazo na machozi yaliyokuwa yamedumu kwa siku tatu lkn yalikauka kwa masaa kadhaa niliyosoma humu,na mwaka huu nikaamua rasmi kuwa member na mie ni mmojawapo ya waliopitia maumivu ya kutendwa na safari ya kurecover ikaanza na sasa niko poa kbs na maisha nayaona burdan,hata km atabisha mtu, members wa humu wote ni madokta wa matatizo ya mahusiano haijalishi wako kwenye kutendwa,wanarecover au wako happy na mahusiano,MMU oyeeeeeee!
Hiyo wote unamaanisha hata mimi?......You are very wrong my dear! Wengine tangu tuingie kwenye marilesheni yetu ni FULL maraha! Siku zote usifanye jenerolaizeshen kwenye matatizo yaliyokutokea wewe kwamba yanawatokea na wengine.

Karekebishe kauli kabla sijayageuzia masaburi yako kwenye magoti.

Mwisho wa kunukuu.
 
Haaaaa haaaaa!Sipati picha ya mwonekano wake lol,Babu hujanielewa maana yangu ni kwamba udaktari huo ni wa kusaidia wengine kwa ushauri na mawazo mabalimbali kupitia experience zao kwenye mahusiano kulingana na matatizo ya kimahusiano ambayo mtu anayowasilisha humu,hata wewe unavyosema uko full maraha ni shule pia kwa wenye matatizo na kupitia na kwan unaweza ukawapa siri za mafanikio nao wakafurahia maisha km ww.
Ndio maana ni katumia jina la udaktari babu na kusema haijalishi tumo ktk hali ipi iwe ya maumivu,kuricover au kwenye full maraha km ww!
Tafadhali usihamishe masaburi yako na kuyaleta magotini nitakosa mchumba babu!
 
Yaani mijanaume yoooote hii mikware huku JF ukose mchumba?............ Kaogee magadi aisee!
 
Back
Top Bottom