Ooh!! Jamani jina hili halisomeka ,jaribu kusoma uone kitakachokukuta

Kuna mwalimu alikuwa anaita majina ya wanafunzi darasani.
Alipofika kwenye jina lifuatalo alisita na hakulisoma kabisa.
JINA LAKE NI: ALLY
LA BABA YAKE: SHANITO
LA UKOO: MBAGA

Du ebu lisome hili jina kwa kuunganisha kama usingewamaindi waliotoa hilo jina kwa huyu mwanafunzi?

dah, pole mkuu. lakini shukrani kwa kufunguka!
 
hahahahaha...unajua nimerudia mara tatu ya nne ikabidi nisome kwa sauti, jamani mwenzenu niko kwa job
 
Back
Top Bottom