.... Ooh darling, ukazunza mazakwatira watora mari.

Complex

JF-Expert Member
Mar 20, 2013
4,113
4,741
Kwa muono wangu hii ndiyo collaboration bora ambayo diamond ameifanya so far mpaka hivi sasa, Hakuna cha psquare, Uhuru wala Davido wote tupa kule. Sikuwahi kumkubali huyu jamaa, Ila kwa hii nyimbo, ameanza kubadili mtazamo wangu juu yake. Nahisi pia Lugha ya kishona imefanya huu wimbo upendeze zaidi.

Hii part aliyoimba Diamond ndiyo iliyonivutia haswa

....Aha darlie, kudhadhamuka kunge dhandi (Zama),
Inini handichagone, usaome moyo kunge njanji,
Aha darlie, kudhadhamuka kunge dhandi (Zama),
Inini handichagone, usaome moyo kunge njanji....,


 
Nilijtoaga instagram na Facebook kisa mada kama hizi. Nyambafu
 
Kati ya ngoma za diamond,hii ngoma nayo ni among ya nazozikubali sana
 
Kati ya ngoma za diamond,hii ngoma nayo ni among ya nazozikubali sana

Kitswana kimeufanya wimbo uonekane vizuri na usound vizuri sana. Ila huu wimbo ni wa jah prayzah, diamond kashirikishwa.
 
Kitswana kimeufanya wimbo uonekane vizuri na usound vizuri sana. Ila huu wimbo ni wa jah prayzah, diamond kashirikishwa.
Hicho ni kiswana au ni kishona mkuu?ahsante kwa kunirekebisha nilikuwa namaanisha nyimbo ambazo diamond ameshirikishwa au kushirikisha
 
Kudhadhamuka kunge ndhandi..kudhadhamuka inamaanisha kuvutika, kunyumbulika, au kurefuka. Kunge inamaanisha kama. Ndhandi ni kishona kina maana ya ruba bendi ya kuvutika.

Nitarudi baadae tena.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom