Onyo za Kofi Annan na Benjamin Mkapa kwa wakenya wapiga kura

Kabaridi

JF-Expert Member
Nov 15, 2011
2,023
534
Shun ICC suspects, says Annan

PIX.gif

Former United Nations secretary-general Kofi Annan gestures during a press briefing on December 4, 2012 in Nairobi. PHOTO / AFP

By OLIVER MATHENGE omathenge@ke.nationmedia.com
Posted Wednesday, December 5 2012 at 21:00

In Summary

  • Mediator says voting for those facing crimes against humanity charges would isolate country

Former UN secretary-general Kofi Annan has urged Kenyans not to elect politicians who have been indicted by the International Criminal Court in the upcoming General Elections.

Though he did not mention Deputy Prime Minister Uhuru Kenyatta and Eldoret North MP William Ruto, the former chief mediator told the BBC that electing such leaders will sour Kenya's relations with the international community.

Mr Annan said that it is "not in the interest of the country" for the electorate to elect a leader who will not be able to freely interact with the rest of the world including travelling to some countries."

"No country today is an island. We live in an inter-dependent world. A leader of a nation should be able to travel out and in with other leaders being able to come here. There must be confidence and trust by other nations and the international community," Mr Annan said.

Pressed by the BBC reporter on whether he was asking Kenyans not to elect Mr Kenyatta and Mr Ruto, Mr Annan was diplomatic that this was not what he meant. Instead, he told the reporter "not to put words in my mouth."

"What I have said is that certain actions are not in the interest of Kenya and I stand by that. Why should it be in the interest of Kenyans to put themselves in a situation where their relations with the rest of the world is complicated?" Mr Annan asked.

His comments are likely to draw fierce reactions from the Kenyatta-Ruto camps as the two have previously accused Mr Annan and other Western leaders of interfering with the forthcoming elections.

Mr Kenyatta and Mr Ruto have formed a coalition to contest the election in which they have also roped in Deputy Prime Minister Musalia Mudavadi.

Even as they prepare to stand trial at The Hague over cases facing them and two other Kenyans in April next year, Mr Kenyatta and Mr Ruto have declared that it was their right to bid for the top seat.

Clear our names

"Even suspects have their own rights, in their own nations. From the time we were named (as suspects), we said we are determined to follow the due process to clear our names, but this does not mean we should be denied our rights," Mr Kenyatta said on Monday.

The European Union and the United States are viewed as opposed to the candidature of the ICC suspects.

Mr Kenyatta has, however, told them off saying; "We don't interfere with your internal affairs. We appreciate your concerns as friends, but you must leave the (Kenyan people) to decide," he said.

In his interview, Mr Annan said that the international community was not meddling with Kenyan affairs and especially the elections.

http://www.nation.co.ke/News/politi...Annan--/-/1064/1637544/-/dbey7wz/-/index.html

Leo. hivi Annan na mkapa wametoa onyo kwa wakenya dhidi ya kuanza majadiliano inayolenga korti ya kimbari. Je matumaini na uhuru wa wakenya unalengwa?
 
ndio unafiki ulioko ulimwenguni ndugu zangu wapendwa. Mkapa amekuwa kibaraka cha wazungu kuwa aliifilisi TZ na kuwauzia wazungu rasilimali za nchi. Yeye mwenyewe alitumia mfumo mbaya wa siasa na katiba ya mbeberu kama kinga na sasa ametakasika akawa hana doa kupitia mahakama za tz alizozidhalalisha katika msimu alipokuwa uongozini.
 
May you perish Benjamin Chinga Nkapa! Go tell it to the birds. Mmekuwa mkipitisha misilaha ya Rwanda kwenda kuwaua wacongoman na bado unajifanya kujali maslahi ya Kenya siyo? Shame on you!
 
Waswahili walisema 'Asiyesikia la Mkuu huvunjika guu'' mwisho wa kunukuu.

Mh. Rais Mkapa yeye amestaafu Urais na hata kama ki-Binadamu naye alifanya mambo yenye upungufu lakini sasa anatumia weledi wake kuwaonya wale ambao wanataka kufanya mapungufu yanayoweza kuwaletea mabalaa makubwa zaidi ya uchaguzi wa Kenya mwaka 2007,

Wakubwa walinena 'Kosa ni kurudia Kosa'' kwa maana mara ya kwanza unasamehewa kosa lakini ukirudia tena basi hilo ni kosa.

Wa-Kenya ' much-know mingi' lakini sisi kama jirani hatuchoki kuwapa tahadhari.
 
Father of All, kagame na mkapa naona hawa ndio mwisho wataipunga hewa za uholanzi. mkapa ameshindwa kuendeleza doctrine ya nyerere kule goma DRC, sasa anadhani kenya atapenyeza bunduki. hajui kenya mambo kupigana ni stakabathi na sio bunduki.
 
Last edited by a moderator:
Mr Kenyatta has, however, told them off saying; "We don't interfere with your internal affairs. We appreciate your concerns as friends, but you must leave the (Kenyan people) to decide," he said.

Kweli wanafalsafa walisema "when the need is too high logic suffers" Kumbe Uhuru na ujanja wote huo bado anafikiri kenya ni kisiwa; He is indeed our modern day Robinson Crusoe!

Father of All, huyo Nkapa pia ni mwanao.....usikasirike
Ni mwanangu aliyezaliwa nje ya ndoa. Hivyo hakupata malezi yangu ndiyo maana unaona mambo yake ni tofauti na wanangu wa kulea mwenyewe kama Kofi Annan.
 
ndio unafiki ulioko ulimwenguni ndugu zangu wapendwa. Mkapa amekuwa kibaraka cha wazungu kuwa aliifilisi TZ na kuwauzia wazungu rasilimali za nchi. Yeye mwenyewe alitumia mfumo mbaya wa siasa na katiba ya mbeberu kama kinga na sasa ametakasika akawa hana doa kupitia mahakama za tz alizozidhalalisha katika msimu alipokuwa uongozini.

Kibaridi, ni lini uligundua kuwa Mkapa kibaraka cha wazungu? Wakati anashughulikia mgogoro, just after the elections, hakuna aliyesema ni kibaraka, but now, kwa sababu tu kuna mtu/watu wanataka madaraka basi Mkapa anakuwa kibaraka cha wazungu?

Uhuru na Rutto wana kesi ya kujibu. Hii si kesi ya kawaida, ni 'Crime against humanity'. Inakuwaje hili halipewi uzito? Na swali ambalo nimekuwa nauliza mara kwa mara, katiba mpya ya Kenya inasemaje kwa mgombea mwenye mashtaka mazito kama hayo? Hivi inakuwaje nchi nzima inashikwa mateka kwa ambitions za mtu mmoja?
 
Elewa FJM mkapa na annan hawa ni negotiators wa madaraka na kazi yao ni kujadili madaraka kwa mgombea rais wao odinga akishindwa. Hivo wako nchini kenya kujenga na kuhakikisha mazingara ya sintofahamu. Ya nini kutaja kushughulikia utata au mizozo ya upigaji kura japo haijatendeka? kuhusu migogoro, hii imekuwa ni sehemu ya hizi kampeini kwa muda.

Huyo mkapa kuna makala ilimlenga ikiuliza dili za kuuza viwanja bei ya kutupa. Lakini "mahakama" za tz zilipokea rushwa kutoka kwake. Naona ni mnafiki. Afrika bado haina viongozi ambao wana ubavu wa kusema wanaweza pewa jukumu ya kutatua mizozo. Afrika, ndio utakuta kiongozi aliyeuza mali kifisadi ama aliyeua watu wa nchi yake akiwa mtumishi wa hawa wazungu.
 
Katiba mpya inatumika kihaki na inazingatia kauli ya mahakama na makundi mengine. Katiba ya kenya FJM sio kizuizi, mahakama, inapaswa kuwakagua wagombea wote wa urais kama wanafaa kua viongozi. Ajabu mahakama ya kenya ikachukua mkondo huo, kutatokea vishindo.
 
Elewa FJM mkapa na annan hawa ni negotiators wa madaraka na kazi yao ni kujadili madaraka kwa mgombea rais wao odinga akishindwa. Hivo wako nchini kenya kujenga na kuhakikisha mazingara ya sintofahamu. Ya nini kutaja kushughulikia utata au mizozo ya upigaji kura japo haijatendeka? kuhusu migogoro, hii imekuwa ni sehemu ya hizi kampeini kwa muda.

Huyo mkapa kuna makala ilimlenga ikiuliza dili za kuuza viwanja bei ya kutupa. Lakini "mahakama" za tz zilipokea rushwa kutoka kwake. Naona ni mnafiki. Afrika bado haina viongozi ambao wana ubavu wa kusema wanaweza pewa jukumu ya kutatua mizozo. Afrika, ndio utakuta kiongozi aliyeuza mali kifisadi ama aliyeua watu wa nchi yake akiwa mtumishi wa hawa wazungu.

Both Annan na Mkapa walipokelewa vizuri na wanasiasa wakati wa kusuluhisha mgogoro wa 2007. Na baadae Kenya (including big shots) walikubali watuhumiwa wakuu wa machafukuo wapelekwe the Hague. Na hicho ndicho kilichofanyika.

Sasa madai ya 'Mkapa kuuza viwanja kwa bei ya kutupa' yanaingiaje kwenye hii equation? Or are you saying Rutto, allegeldy, alichochea fujo kwa sababu Mkapa aliuza viwanja kwa bei ya kutupa? Or Uhuru is standing for the highest seat in the land (Kenya) regardless of what the consitution says kwa sababu Mkapa aliuza viwanja kwa bei ya kutupa?

Mshikwa na mkia ndiye mwizi wa ng'ombe. Uhuru & co wanaweza kuwa na hasira sana na kambi ya Raila. But mwenzao kawazidi ujanja na sasa wana mashtaka ICC - crime against humanity. Hii si kesi ya kuiba kuku au kuuza viwanja! Ni mambo mazito haya. Na kinachoendelea sasa hivi, kama nilivyoandika kwenye post yangu hapo awali, ni sawa na kushika nchi ya Kenya mateka kwa sababu kuna mtu/watu wawili wanaotaka kupata nafasi za uongozi!

I can imagine ni kitu gani kingetokea kama hii kesi ya wakubwa ingekuwa kwenye mahakama za Kenya (na sio the Hague?).
 
Both Annan na Mkapa walipokelewa vizuri na wanasiasa wakati wa kusuluhisha mgogoro wa 2007. Na baadae Kenya (including big shots) walikubali watuhumiwa wakuu wa machafukuo wapelekwe the Hague. Na hicho ndicho kilichofanyika.

Sasa madai ya 'Mkapa kuuza viwanja kwa bei ya kutupa' yanaingiaje kwenye hii equation? Or are you saying Rutto, allegeldy, alichochea fujo kwa sababu Mkapa aliuza viwanja kwa bei ya kutupa? Or Uhuru is standing for the highest seat in the land (Kenya) regardless of what the consitution says kwa sababu Mkapa aliuza viwanja kwa bei ya kutupa?

Mkuu, hakuna anayekana kuwa Uhuruto wana kesi ya kujibu kule the hague, lakini muwapofu maana jamii ya kimataifa hutafuta sintofahamu hizi kuingilia na kugawanya taifa pande mbili. wenye kuhathirika ni waafrika wenyewe wao wakihepa. Ni dhahiri wakenya wamepigana wenyewe kwa wenyewe, si mara moja bali mara nyingi.....

....Tunakubali asilimia kua msaada wa kikwete ulikuwa na manufaa sana kwetu. Lakini tunasema ikiwa mkapa anathamini uhuru kutoka ukoloni mambo leo, basi na ajitenge maana kwanza amestaafu kutoka siasa za TZ na sasa yuko kwenye kilabu cha "emminent personalities"

Kuna mengi yanayomvutia mkapa mojawepo ikiwa malupulupu atakayopata kutoka kwenye "kundi la ulaya". kwa ufupi tunachosema ni awaachie wakenya waamue ni nani watakayemchagua..period!

Tz kihistoria na mara kadha wa kadha, imekuwa mstari wa mbele kuingilia na kujihusisha katika migogolo inje ya mipaka yake |pun|.

BASI TOFAUTI KUU YA KENYA NA TANZANIA NDIO HUO!
Kenya kwa upande wake ..........imekuwa taifa huru inayolenga kuendeleza maendeleo ndani ya mipaka yake.
Isipokuwa kuzima vita vya ugaidi somalia, kenya haijajitosa kutumwa kichwa kichwa kuziboronga serikali nje ya mipaka yake.

Kuhusu katiba ya Kenya, katiba ya wakati huu haimkubali yeyote anayekabiliwa na mashtaka ya kimbari, lakini sio kizuizi au silaha ya kutumiwa na wanasiasa mahasidi. Katiba ya Kenya haikubuniwa kuwa Torati, katiba ya kenya ni ya kutekelezwa, na wanasheria, wabunge, na makundi yanoyowakilisha masuala ya raia/vyombo vya dola. Kuna kauli nyingi zitaamua kupitia mahakama ikiwa uhuruto watweza gombea urais.
 
The perceptible interpretation of Mr. Kofii Annans intervention is that where he is sent as an envoy "blood shed" usually follows. His reverse-psychology diplomacy has effectively worked in Syria where daily bloodshed is a common occurence. The globetrotting Messenger for "peace" spearheaded the Obama endgame in SYRIA. So successful and committed is the envoy that he has been elevated to the topmost position to spearhead the group of emminent personalities.

Judging from what is happening in Syria, His visit to kenya might be a precursor to a more worse violence than 2008. One also wonders from his talk whether he is sent on behalf of the ICC or on behalf of the emminent personalities. Where is the Kenyan, Security and home affairs oversight commitees to elaborate the implications of such diplomatic imperial mandarins.

Be AWARE KENYANS!! God bless Kenya
 
Jamani tuwaache hao wazee wafanye kazi yao. Mwenye masikio atasikia, tafakari na kuamaua, mwenye macho ataona pia. Ni wazi kuwa waKenya walishindwa kuelewana kipindi kile na hao watu ndio waliofanikiwa kuwapatinisha japo kwa shingo upande. Suala la Nkapa alifanya nini huko nyuma halina mantiki kwenye jambo hili kwa sababu hakuna binadamu asiye na kasoro. Ni vema hatima ya Nkapa tuachiwe wabongo tuamue tumfanye nini lakini kwa sasa aendelee na kazi yake tuliyomtuma huko Kenya.:confused2:
 
For now let Mkapa use his hard stolen money from TZ citizens starched in swiss bank accounts to the benefit of the Tz society. Kenya is not a failed state where communists can spearhead their machinations. They may try elsewhere somalia or DRC.
 
Elewa FJM mkapa na annan hawa ni negotiators wa madaraka na kazi yao ni kujadili madaraka kwa mgombea rais wao odinga akishindwa. Hivo wako nchini kenya kujenga na kuhakikisha mazingara ya sintofahamu. Ya nini kutaja kushughulikia utata au mizozo ya upigaji kura japo haijatendeka? kuhusu migogoro, hii imekuwa ni sehemu ya hizi kampeini kwa muda.

Huyo mkapa kuna makala ilimlenga ikiuliza dili za kuuza viwanja bei ya kutupa. Lakini "mahakama" za tz zilipokea rushwa kutoka kwake. Naona ni mnafiki. Afrika bado haina viongozi ambao wana ubavu wa kusema wanaweza pewa jukumu ya kutatua mizozo. Afrika, ndio utakuta kiongozi aliyeuza mali kifisadi ama aliyeua watu wa nchi yake akiwa mtumishi wa hawa wazungu.

Mkuu Kabaridi kwa maoni yangu, Mkapa na Annan wangewatakia Wakenya Kheli na kuwashauri watumie haki yao ya kupiga kura bila ya kupigana tena, alafu wawe makini katika chaguzi zao - haya mambo ya kuwambia/kuwashurutisha Wakenya kwamchague nani wamuache nani wenye uhamuzi wa mwisho ni Wakenya wenyewe; mataifa mengine hayana haki ya kuingilia mambo ya ndani ya Kenya.
 
Mkuu ndio ombi letu kwamba wangetutakia kila la kheli lakini, hiyo sio ujumbe walio nao. These guys have a specific message and the mission has clearly been seen when they hold press conferences. That panel of emminent personalities are ICC envoys in short.
 
Back
Top Bottom