ONYO kwa wanaonunua simu humu

Ipo camon 11 hapa
Wakuu inae inae hiyo krek upande wa kulia juu
Niliinununa mwenz wa 11 tarehe 2 bado n mpya na nikaidondosha ikapasuka ikiwa na wiki 1 na siku 3 tuu
Sasa nataka kuiuza
Nipo Arusha
IMG-20191125-WA0005.jpeg
IMG-20191125-WA0008.jpeg
IMG-20191125-WA0001.jpeg
IMG-20191125-WA0010.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
rekebisha usemi kuna wauza simu humu wana maduka yao kama Godfrey Electronics sasa wewe unapotoa onyo sielewi
Hapa kila mtu kakomaa akili akiona simu akaipenda humu anawasiliana muuzaji anaiona face yake akiridhika ndo analipa

usitaku ku implant spirit mbaya kwa watu

pia hii ni sehemu ya biashara sana so ktk soko au market place mambo kama hayo hayakosi ni wewe tu kuangalia wapi kuna ukweli na uhakika

Hope nimeeleweka na sitaki tangazo hili likutwe na wageni sababu litachafua jukwaa kwa mambo ambayo yanaitaji umakini wa mnunuaji

Uwezi enda duka la vifaa used ukakurupuka kununua kitu
pia kama ujui hili soma sticky hapo juu kaweka robot inayotutahadharisha na haya yote

Lidumu jukwaa la matangazo
Ndo thread ishapigwa stiki tayari kila mgeni anaona....tunafanyeje sasa
 
Sio wote. Mfano mm nauza simu used from India na nyingi ni matoleo mapya tu. Kuuziwa simu mbov kunatokana na kutokuitambu simu ni yalin. Mfano mtu unakuta miaka hi unatafuta s7 au s6 simu za 2015 unategemea ukute sio kimeo????
Unaweza kunitafutia blackberry passport used lakn OG sio refurbished
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom