Fredrick91
Member
- Jun 30, 2016
- 57
- 9
Huawei G8
Ram 32gb
Ram 3gb
Ina 4g Na fingerprint
No 0714018677
Bei 270000
Ram 32gb
Ram 3gb
Ina 4g Na fingerprint
No 0714018677
Bei 270000
point taken.... mimi huwa sipendi kabisa mambo ya kununua simu aliyotumia Mtz tena mweusi ongeza na roho mbayaKumekuwa na matangazo mengi sana yahusuyo mauzo ya simu na vitu vingine,
ila mimi nitaongelea zaidi kwenye simu,
simu nyingi zinazouzwa humu ni vimeo utakuta mtu anajua kimeo kinaelekea kumfia anakitupia huku,
juzi kuna jfmember nusu nimpeleke polisi kama si huruma iliyonijia ghafla,
wengi wanauza vimeo vilivyoshindikana au cm za kuungaunga kwa mafundi!
USHAURI:Tuache uvivu twende madukani,simu mpya na guarantee bei rahisi,tupunguze tamaa za kupata vitu vizuri kwa bei za kutupa
Wengi ya wauzaji wanazingua, mmojanilimwomba sifa za simu anayouza akanitajia link,wewe umekutana na mzinguaji mmoja unahukumu wauzaji wote......mimi nishauzia watu humu vitu vingi tu na wananipm kuappreciate.....sasa hivi nauza iPHONE 4S brand new....boxed na accessories zote njoo ni-pm ununue na uje utoe feedback hapa....hata sisi wauzaji kuna wanunuzi tunagongana na wayeyushaji wengi tu lakini ni sehemu ya biashara...
taya ya smu ununue mpya na yenye warranty lakin ndugu zangu wingi wanapenda vitu ya bei rahisi matokeo yake ndo hayo nunua ktu hata kama kitaongezea mara moja moja yake ukiona pesa haifiki subiria mpaka upate utanunua siku hazilinganiWengi ya wauzaji wanazingua, mmojanilimwomba sifa za simu anayouza akanitajia link,
Sio wote. Mfano mm nauza simu used from India na nyingi ni matoleo mapya tu. Kuuziwa simu mbov kunatokana na kutokuitambu simu ni yalin. Mfano mtu unakuta miaka hi unatafuta s7 au s6 simu za 2015 unategemea ukute sio kimeo????point taken.... mimi huwa sipendi kabisa mambo ya kununua simu aliyotumia Mtz tena mweusi ongeza na roho mbaya
Hongera kwa kuwa makini, watu wanafanya ubabaishaji wa hali ya juu.PICHA LILIKUWA HIVI:
nimekuta tangazo la BB CURVE inauzwa kwa 100k,
kwa sifa zilizowekwa nikawa interested.
Nikamtafuta jamaa ili ninunue simu,
akanambia nimfate kwao TABATA,
kwakuwa mimi naishi SINZA nikamwambia tukutane UBUNGO TERMINAL ili kushare cost.....
Jamaa akafika eneo husika akiwa na bidhaa husika ikiwa ipo ON tayari!
Kama ilivyo kwa mtoto wa mjini mwingine sikutaka kuuziwa mbuzi kwenye kiroba nikaizima na kuiwasha simu,
yan process ya kuwasha tu ilichukua dk10 na charge ikawa imeisha hapohapo hivyo simu ikazima zzzzzz....!
(Kimoyomoyo nikasema biashara hakuna hapa)
MUUZAJIkwa kujistukia)dah..!ndo kawaida ya BB ukiwasha inaload sana na sijaichaj toka juz
MNUNUZI: sasa kwanini hukuichaj full leo na unajua toka jana kama kuna biashara?kwnza vitu vyake viko wapi?(charger&earphone)
MUUZAJI: ah!nilijisahau kuichaj ila charger ilipotea mi huwa naazima ya samsung
MNUNUZI: dah!sasa hapo itabidi katika hiyo pesa nitakayokupa itakayokupa itabidi ipungue ninunue charger
MUUZAJI: sawa haina shida,
MNUNUZI: sasa wewe nenda kachaj full,alafu tukutane hapahapa badae sawa?
(tukakubaliana akaondoka,akajua kashaula tayari)
ilipofika badae
MUUZAJI: tayari iko poa hii hapa mkubwa
MNUNUZI: ok!nikaizima nikaweka line yangu na memory card,
simu ilipowashwa ikakata display
(jamaa akawa anaiweka kwa kufichaficha inaelekea ndo tatizo la hyo simu)
MUUZAJI: (baada ya kuhangaika sana bila mafanikio,huku akinichek kwa jicho la wizi)
dah!yan tatizo hili ndo kwanza linantokea leo,itakuwaje mkuu?
MNUNUZI: nakusikiliza wewe unasemaje?
MUUZAJI: mi naona biashara ishakuwa ngumu hapa.
MNUNUZI: kama umelitambua hilo vizuri,
kajipange upya ukiwa na simu nzuri,nzima nitafute()
Camera ya S4 ni 13 au 32?View attachment 1150713 View attachment 1150714 brand new infinix S4 for sale
DISPLAY6.21" (15.77 cm)
STORAGE32 GB
CAMERA13MP + 8MP + 2MP
BATTERY4000 mAh
RAM3 GB
bei 360,000tsh
ni mpya na ina warranty mwaka mmoja#
location china plaza uhuru road
wahtsapp no 0738929307
Yaani uko sahihi kabisa,unajua kama hayajakukuta huwezi kuacha
Mimi mwenyewe niliacha yaliponikuta pale Tanganyika karibu na soko kuu mwanza,yaani niliuziwa kopo..laki na kumi..
So be careful if possible achana na bidhaa za zisizokuwa na rist au guarantee time.
Sent using Jamii Forums mobile app
IPhone 6plus 430kNaitaji iphone 5
Na iphone 6 bei iwe za kuuza mikononi sio za dukani
Mie kwanza huwa nashangaa mtu unanunuaje simu kwa mtu wakati maduka yapo!