Miss Ritah
Senior Member
- Dec 28, 2014
- 191
- 121
sio kidogohahahhahah noma sana
sio kidogohahahhahah noma sana
nenda msimbazi mkuunatafuta tecno p5
maisha ya dar ndo ivyo wote mnaishi kwa kuvizianaPICHA LILIKUWA HIVI:
nimekuta tangazo la BB CURVE inauzwa kwa 100k,
kwa sifa zilizowekwa nikawa interested.
Nikamtafuta jamaa ili ninunue simu,
akanambia nimfate kwao TABATA,
kwakuwa mimi naishi SINZA nikamwambia tukutane UBUNGO TERMINAL ili kushare cost.....
Jamaa akafika eneo husika akiwa na bidhaa husika ikiwa ipo ON tayari!
Kama ilivyo kwa mtoto wa mjini mwingine sikutaka kuuziwa mbuzi kwenye kiroba nikaizima na kuiwasha simu,
yan process ya kuwasha tu ilichukua dk10 na charge ikawa imeisha hapohapo hivyo simu ikazima zzzzzz....!
(Kimoyomoyo nikasema biashara hakuna hapa)
MUUZAJIkwa kujistukia)dah..!ndo kawaida ya BB ukiwasha inaload sana na sijaichaj toka juz
MNUNUZI: sasa kwanini hukuichaj full leo na unajua toka jana kama kuna biashara?kwnza vitu vyake viko wapi?(charger&earphone)
MUUZAJI: ah!nilijisahau kuichaj ila charger ilipotea mi huwa naazima ya samsung
MNUNUZI: dah!sasa hapo itabidi katika hiyo pesa nitakayokupa itakayokupa itabidi ipungue ninunue charger
MUUZAJI: sawa haina shida,
MNUNUZI: sasa wewe nenda kachaj full,alafu tukutane hapahapa badae sawa?
(tukakubaliana akaondoka,akajua kashaula tayari)
ilipofika badae
MUUZAJI: tayari iko poa hii hapa mkubwa
MNUNUZI: ok!nikaizima nikaweka line yangu na memory card,
simu ilipowashwa ikakata display
(jamaa akawa anaiweka kwa kufichaficha inaelekea ndo tatizo la hyo simu)
MUUZAJI: (baada ya kuhangaika sana bila mafanikio,huku akinichek kwa jicho la wizi)
dah!yan tatizo hili ndo kwanza linantokea leo,itakuwaje mkuu?
MNUNUZI: nakusikiliza wewe unasemaje?
MUUZAJI: mi naona biashara ishakuwa ngumu hapa.
MNUNUZI: kama umelitambua hilo vizuri,
kajipange upya ukiwa na simu nzuri,nzima nitafute()
Offer ! Offer !offer
ZANZIBAR GENERAL SUPPLY
wanakuletea punguzo la bei katika Msimu huu kama ifuatavyo!
Pata LG au SAMSUNG 43 Inches Led Smart Tv for only 450,000 tshs
[HASHTAG]#specifications[/HASHTAG]
.HDMI SUPPORT
.Built decoder
.wifi support
.usb ports etc
Tunapatikana Malindi mjini Zanzibar
[HASHTAG]#Wakazi[/HASHTAG] wa Zanzibar unaletewa popote ulipo bure/Tanzania bars tunatuma baada ya malipo kwa usalama na uaminifu mkubwa.
#NB one year warranty
[HASHTAG]#cont[/HASHTAG] 0712986773
Halaf mpaka kupatana upo hivi mtu wa bara anaanzaje kutuma hela yote asubilie mzigo wajinga waliwaoOffer ! Offer !offer
ZANZIBAR GENERAL SUPPLY
wanakuletea punguzo la bei katika Msimu huu kama ifuatavyo!
Pata LG au SAMSUNG 43 Inches Led Smart Tv for only 450,000 tshs
[HASHTAG]#specifications[/HASHTAG]
.HDMI SUPPORT
.Built decoder
.wifi support
.usb ports etc
Tunapatikana Malindi mjini Zanzibar
[HASHTAG]#Wakazi[/HASHTAG] wa Zanzibar unaletewa popote ulipo bure/Tanzania bars tunatuma baada ya malipo kwa usalama na uaminifu mkubwa.
#NB one year warranty
[HASHTAG]#cont[/HASHTAG] 0712986773
Agiza simu abroad kupitia platform yetu mpya www.teknozoo.co.tz au tembelea ofisi zetuKumekuwa na matangazo mengi sana yahusuyo mauzo ya simu na vitu vingine,
ila mimi nitaongelea zaidi kwenye simu,
simu nyingi zinazouzwa humu ni vimeo utakuta mtu anajua kimeo kinaelekea kumfia anakitupia huku,
juzi kuna jfmember nusu nimpeleke polisi kama si huruma iliyonijia ghafla,
wengi wanauza vimeo vilivyoshindikana au cm za kuungaunga kwa mafundi!
USHAURI:Tuache uvivu twende madukani,simu mpya na guarantee bei rahisi,tupunguze tamaa za kupata vitu vizuri kwa bei za kutupa
Wauza smartphone tukutane hapaNarafuta simu lg flex mkuu kama kuna mwenye kuuza anipim
j5 ipi? pro au prime