ONYO kwa wanaonunua simu humu

PICHA LILIKUWA HIVI:
nimekuta tangazo la BB CURVE inauzwa kwa 100k,
kwa sifa zilizowekwa nikawa interested.
Nikamtafuta jamaa ili ninunue simu,
akanambia nimfate kwao TABATA,
kwakuwa mimi naishi SINZA nikamwambia tukutane UBUNGO TERMINAL ili kushare cost.....
Jamaa akafika eneo husika akiwa na bidhaa husika ikiwa ipo ON tayari!
Kama ilivyo kwa mtoto wa mjini mwingine sikutaka kuuziwa mbuzi kwenye kiroba nikaizima na kuiwasha simu,
yan process ya kuwasha tu ilichukua dk10 na charge ikawa imeisha hapohapo hivyo simu ikazima zzzzzz....!
(Kimoyomoyo nikasema biashara hakuna hapa)
MUUZAJI:(kwa kujistukia)dah..!ndo kawaida ya BB ukiwasha inaload sana na sijaichaj toka juz

MNUNUZI: sasa kwanini hukuichaj full leo na unajua toka jana kama kuna biashara?kwnza vitu vyake viko wapi?(charger&earphone)

MUUZAJI: ah!nilijisahau kuichaj ila charger ilipotea mi huwa naazima ya samsung

MNUNUZI: dah!sasa hapo itabidi katika hiyo pesa nitakayokupa itakayokupa itabidi ipungue ninunue charger

MUUZAJI: sawa haina shida,

MNUNUZI: sasa wewe nenda kachaj full,alafu tukutane hapahapa badae sawa?
(tukakubaliana akaondoka,akajua kashaula tayari)
ilipofika badae

MUUZAJI: tayari iko poa hii hapa mkubwa

MNUNUZI: ok!nikaizima nikaweka line yangu na memory card,
simu ilipowashwa ikakata display
(jamaa akawa anaiweka kwa kufichaficha inaelekea ndo tatizo la hyo simu)

MUUZAJI: (baada ya kuhangaika sana bila mafanikio,huku akinichek kwa jicho la wizi)
dah!yan tatizo hili ndo kwanza linantokea leo,itakuwaje mkuu?

MNUNUZI: nakusikiliza wewe unasemaje?

MUUZAJI: mi naona biashara ishakuwa ngumu hapa.

MNUNUZI: kama umelitambua hilo vizuri,
kajipange upya ukiwa na simu nzuri,nzima nitafute()
maisha ya dar ndo ivyo wote mnaishi kwa kuviziana
 
Offer ! Offer !offer
ZANZIBAR GENERAL SUPPLY
wanakuletea punguzo la bei katika Msimu huu kama ifuatavyo!

Pata LG au SAMSUNG 43 Inches Led Smart Tv for only 450,000 tshs

[HASHTAG]#specifications[/HASHTAG]
.HDMI SUPPORT
.Built decoder
.wifi support
.usb ports etc

Tunapatikana Malindi mjini Zanzibar

[HASHTAG]#Wakazi[/HASHTAG] wa Zanzibar unaletewa popote ulipo bure/Tanzania bars tunatuma baada ya malipo kwa usalama na uaminifu mkubwa.

#NB one year warranty
[HASHTAG]#cont[/HASHTAG] 0712986773
 
(1).png
(1).png
(1).png
Offer ! Offer !offer
ZANZIBAR GENERAL SUPPLY
wanakuletea punguzo la bei katika Msimu huu kama ifuatavyo!

Pata LG au SAMSUNG 43 Inches Led Smart Tv for only 450,000 tshs

[HASHTAG]#specifications[/HASHTAG]
.HDMI SUPPORT
.Built decoder
.wifi support
.usb ports etc

Tunapatikana Malindi mjini Zanzibar

[HASHTAG]#Wakazi[/HASHTAG] wa Zanzibar unaletewa popote ulipo bure/Tanzania bars tunatuma baada ya malipo kwa usalama na uaminifu mkubwa.

#NB one year warranty
[HASHTAG]#cont[/HASHTAG] 0712986773


Huyu tapelii huyu wadau msijikanyage
 
Offer ! Offer !offer
ZANZIBAR GENERAL SUPPLY
wanakuletea punguzo la bei katika Msimu huu kama ifuatavyo!

Pata LG au SAMSUNG 43 Inches Led Smart Tv for only 450,000 tshs

[HASHTAG]#specifications[/HASHTAG]
.HDMI SUPPORT
.Built decoder
.wifi support
.usb ports etc

Tunapatikana Malindi mjini Zanzibar

[HASHTAG]#Wakazi[/HASHTAG] wa Zanzibar unaletewa popote ulipo bure/Tanzania bars tunatuma baada ya malipo kwa usalama na uaminifu mkubwa.

#NB one year warranty
[HASHTAG]#cont[/HASHTAG] 0712986773
Halaf mpaka kupatana upo hivi mtu wa bara anaanzaje kutuma hela yote asubilie mzigo wajinga waliwao
 
Kwnza mkuu BLACK BERRY carve ni simu za zamani sana lazima ziwe mbovu.....ni simu za mwaka 2013 ndy mwisho kutoka unadhani utapata simu nzr..hata hiyo 1 k pia ulikuwa unapigwa.....ile simu camera ni 3.5 pixel...memory ya storage ni ndogo sana ....nakushauri kabla hujanunuwa kitu ingia gougle kwnza....ujiridhishe,,,na hata soko la mjini utaona kwa mtandao,,tatizo kunapotokea aina fulani ya biashara na wezi nao wanaingia humo,,,lakini biashara ya onlineni nzuri tu.....tatizo wapigaji nao wameingia humo,, mimi nimenunuwa TECHNO W5 safi kabisa 13 pixel haina tatizo lolote mkuu..ktk jambo lolote wapigaji hawakosi ni kuwa makini tu
 
Kumekuwa na matangazo mengi sana yahusuyo mauzo ya simu na vitu vingine,
ila mimi nitaongelea zaidi kwenye simu,
simu nyingi zinazouzwa humu ni vimeo utakuta mtu anajua kimeo kinaelekea kumfia anakitupia huku,
juzi kuna jfmember nusu nimpeleke polisi kama si huruma iliyonijia ghafla,

wengi wanauza vimeo vilivyoshindikana au cm za kuungaunga kwa mafundi!
USHAURI:Tuache uvivu twende madukani,simu mpya na guarantee bei rahisi,tupunguze tamaa za kupata vitu vizuri kwa bei za kutupa
Agiza simu abroad kupitia platform yetu mpya www.teknozoo.co.tz au tembelea ofisi zetu
 
Kama imekula kwako,basi.Kwani madukani ukinunua simu,si inaweza halibika hapo hapo?Na je,una uhakika gani wote wanaouza zinakuwa fake? Binafsi nilinunua simu mbili hivyo hivyo mtandaoni,zote zikiwa zimetumika. Moja iko safi mpaka wa leo,na nyingine shida battery. Je,za madukani hazipo zisizokaa na chaji? Af,siyo kila mtu ana huo uwezo wa kwenda dukani kununua mpya,maana ukiachilia mbali,vipo vitu vingi vinauzwa second hand,na mara nyingi unakuta mtu ana shida kaamua auze kwa bei ya hasara,mwingine kapata kifaa kingine hana hitaji na alichokuwa nacho,sababu zipo nyingi. Nafikili vyema ungetoa angalizo la simu feki na nzima kabla ya kununua. Siyo biashara ya leo hii
 
Ninauza Simu aina ya Iphone 5s
Ina ukubwa wa 16 GB
Ram 1 Gb
Ios 11.2
Ina fingerprint
Ipo katika hali nzuri
Napatikana Arusha
0712350159
20180501_130413-scale-1.jpg
20180501_13042-1-scale-1.jpg
20180501_130435.jpg
 
Mwenye nyumba wangu anauza nyumba yake nyingine hapa Kibaha mjini opposite west gate schools. dakika 90 kwenda mbezi Luis, nauli elf moja.
bei milioni ishirini tu
simu:0713-039875 kwa picha zaidi
 

Attachments

  • tmp-cam--659216543.jpg
    tmp-cam--659216543.jpg
    11.7 KB · Views: 195

Similar Discussions

Back
Top Bottom