ONYO kwa wanaonunua simu humu

Mimi sirudii tena kununua hizo Mali za mkononi sasa hivi nina note 3 naitazama kama furniture tu haitaki kufunguka
 
Kumekuwa na matangazo mengi sana yahusuyo mauzo ya simu na vitu vingine,
ila mimi nitaongelea zaidi kwenye simu,
simu nyingi zinazouzwa humu ni vimeo utakuta mtu anajua kimeo kinaelekea kumfia anakitupia huku,
juzi kuna jfmember nusu nimpeleke polisi kama si huruma iliyonijia ghafla,

wengi wanauza vimeo vilivyoshindikana au cm za kuungaunga kwa mafundi!
USHAURI:Tuache uvivu twende madukani,simu mpya na guarantee bei rahisi,tupunguze tamaa za kupata vitu vizuri kwa bei za kutupa
Hata pia wanaotangaza madawa ya kurefusha na kunenepesha......
Mmojawapo wa kujihadhari sana naye ni anayejiita Ryoba Warioba cm. namba 0745432426 na kunadi duka lake la Entengo Herbs lililoko Temeke mkabala na Temeke Hospital. Huyu ni mtu hatari kwani hata cm yake ameisajili kwa jina la Marwa Alex
 
2c4fe4df74b561b3ef8843eb0d17b964.jpg
mbona mm nmepata cm nzr bei chee tena juz leo cku ya tatu naitumia!?? Iphone 5 na nltoa tangazo humu humu habari mchanganyiko wewe ndo uwe makin huenda ni royal in buzness
 

Similar Discussions

64 Reactions
Reply
Back
Top Bottom