ONYO kwa wanaonunua simu humu

Kuwasaidia wengine, mtaje. Sisi tutaangalia IDs zake zote na kuziunganisha.

Ikibidi, tupe # yake ya simu tutamwanika hadi majina halisi. Threads zake zote zitafutwa na ID itawekewa status ya TAPELI.

Thanks

Mkuu Invisible,

Taratibu mkuu, hizo zitakuwa adhabu kubwa mno kwa mhusika uenda nia yake haikuwa kuuza kitu kibovu, tumpe benefit of doubt!!!!

Tiba
 
Kuwasaidia wengine, mtaje. Sisi tutaangalia IDs zake zote na kuziunganisha.

Ikibidi, tupe # yake ya simu tutamwanika hadi majina halisi. Threads zake zote zitafutwa na ID itawekewa status ya TAPELI.

Thanks

nimeku-PM mkuu
 
Jamani unajua biashara ni maelewano sasa kama wewe unaona kitu na bei unaipenda unakagua unaridhika unanunua hauridhiki aununui tatizo liko wapi?? Za madukani pia zipo feki na mbovu.

kama huna ujuzi wa kukagua bidhaa husika si ushatapeliwa?
Wewe unajua ila mwengne hajui jinsi ya kujua kama ni nzima au lah!
Hatufanani mkuu
 
Sasa hapo kuna shida gani, ndivyo biashara inavyofanyika, tayari ulijua simu ni used toka mwanzo!
mmekubali kukubaliana, sioni tatizo hapo hakuna utapeli ni njia genuine za ufanyaji bashara!

unanipa wasiwasi wewe,
yan huoni kitu hapo?
 
Nilifanya biashara ya simu na Mwana JF Mathematics. Simu iko fresh mpaka leo na inapiga kazi vizuri tu kwa hiyo kuna wengine wana uza simu poa kabisa..

ni kweli,mi mwenyewe nishakutana na wauzaji makini mf.Godfrey electronics,ila penye wengi pana mengi pia
 
Kuwa na lugha ya ki utu uzima
Or less Am gonna chop ya di*ck off
Watch out
Umeweka uzi ndo maana unaona tunachangia na mitazamo tofauti

kuna tatizo katika uwasilishaji na upokewaji wa ujumbe/taarifa.
Thanks
 
ni kweli,mi mwenyewe nishakutana na wauzaji makini mf.Godfrey electronics,ila penye wengi pana mengi pia
Biashara ni makubaliano.
Kuna vimeo vingi tu madukani, na kuna simu nzuri mitaani and vice versa. Ila kama uliikagua na kuiona haifai, sioni kwanini unalalamika. Ingekuwa umeagiza gari kimeo, hapo labda ningeelewa malalamiko yako.
Lakini ume-inspect mwenyewe .... sioni kwanini unalalamika.
 
We ndo Great Thinker wa ukweli Lidaku kumbe simu ulikagua ya nn ulalamike na kuchafua jukwaa hili
Mimi nilifikiri alikufanyia home delivery afu hakukuta na akaondoka au alikutumia kwa posta...LOL!!!!
 
Last edited by a moderator:
Sasa mimi nilikuwa na mpango wa kuuza note 2 yangu imetumika kiduchuuu!! Na nyie mnachafua hali ya hewa mpaka nimesitta kuiuza.
 
tumia akili kidogo,mtoa uzi katoa kwa faida ya wengi kwani hatupo sawa!
Yeye aliweza kukagua mwingine hawezi angenunua sasa haijala kwake?
Halafu nyinyi munaotetea mambo haya ndo wahusika wa hii michezo nishawastukia,
sasa dawa yenu inachemka!
Munauza vimeo vyenu kwa utapeli hata jf wengine hawachangii hata mia mbovu japo ndiyo inayowaweka mjini na familia zenu kwa biashara zenu za kupiga kiujanja,matapeli wakubwa
 
100% naunga mkono hoja
 
Sasa mimi nilikuwa na mpango wa kuuza note 2 yangu imetumika kiduchuuu!! Na nyie mnachafua hali ya hewa mpaka nimesitta kuiuza.

ndio nyie mnaozungumzwa yani ki2 hata k2mike miaka mingap mnasema bdo kpya kna 2months toka kinunuliwe,
nakushauri ucuze utapata shida wa2 2meshaamka ss hv,
 
We ndo Great Thinker wa ukweli Lidaku kumbe simu ulikagua ya nn ulalamike na kuchafua jukwaa hili
Mimi nilifikiri alikufanyia home delivery afu hakukuta na akaondoka au alikutumia kwa posta...LOL!!!!

nimesoma maelezo yako ktk comments zako zote,
ww utakuwa tapeli haiwezkn ukawa unatetea hv bana...aah!
 
Last edited by a moderator:
tumia akili kidogo,mtoa uzi katoa kwa faida ya wengi kwani hatupo sawa!
Yeye aliweza kukagua mwingine hawezi angenunua sasa haijala kwake?
Halafu nyinyi munaotetea mambo haya ndo wahusika wa hii michezo nishawastukia,
sasa dawa yenu inachemka!
Munauza vimeo vyenu kwa utapeli hata jf wengine hawachangii hata mia mbovu japo ndiyo inayowaweka mjini na familia zenu kwa biashara zenu za kupiga kiujanja,matapeli wakubwa
Matapeli kivipi?
Kama umeamua kununua kitu kilichotumika, kwanini usiangalie risk unayoikabili? Na ukikutana na tapeli, haina maana kuwa kila mtu anayefanya biashara hiyo basi ni tapeli. Kwa mfano nikikuuzia simu used au mpya ambayo ni kimeo, lazima baadae utaanzisha thread itayoeleza kuwa umetapeliwa na kobello, na zingekuwa nyingi humu JF. Mimi ndiyo leo naona kwa mara ya kwanza ... mabbe mbili, sina uhakika.
Kwa hiyo usilazimishe kuwa hilo ni jambo linalotokea mara nyingi. Na mara nyingi kama unaleta simu au colognes .. etc, unaagizwa kwanza na ukipata unatuma, kuna watu wengi tu wanaulizia vitu mbalimbali, sijawahi kumuuzia mtu kitu humu ndani zaidi ya laptop na jamaa ananiulizia mpaka leo kama tunaweza kufanya biashara, other than that ...... usidhani kuna kufaidika sana, almost negligible.
 
nimesoma maelezo yako ktk comments zako zote,
ww utakuwa tapeli haiwezkn ukawa unatetea hv bana...aah!

mkuu Invisible matusi na kumdharirisha mtu hadhari si Vs forum rules .. moderator wa hili jukwaa ni muda wake kufanya yake
nshavunjiwa heshima mm
 
Last edited by a moderator:
Biashara ni katibya willing buyer ba willing seller...kama mmoja akighairi hakuna biadhara hapo.

Ni juu ya mnunuzi kujiridhisha na bidhaa anayotaka kununua kama hajaridhika hanunui akinunua amerishika na kama akikuta bidhaa ssio alivotegemea basi ndio risk zenyewe iyo otherwise angeenda kununua mpya dukani na warranty.

Uliona wapi BB ikauzwa laki moja halafu eti utegemee iwe kama mpya?

Kwa maoni yangu ni kwamba ukiamua kudeal na vitu used ukubali pia matokeo na uwr makini.

NA HAINA MAANA KUWA WAUZAJI WA HAPA ETI NI MATAPELI...nimeshawahi kununua iPhone umu na inadunda hadi leo.
 
Similar Discussions

64 Reactions
Reply
Back
Top Bottom