ONYO: Wanaonunua simu humu....!

tusipotoshane

JF-Expert Member
Jul 19, 2018
676
1,000
Simu tu unashangaa,je,wanaonunua magari kutoka watu utashangaa au kunya kabisa?Toa ushauri,vitu vingi tu vinanunuliwa kutoka kwa watu sio simu pekee!?

Bure kabisa wewe.
Mie kwanza huwa nashangaa mtu unanunuaje simu kwa mtu wakati maduka yapo!
 

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Oct 26, 2018
7,296
2,000
Nshanunua saaana simu ntandaoni na hii ninayotumia A9 pro nimenunua mtandaoni na sijutii kamwe,

Nshanunua gari, tv, spares za magari, saa, viatu and the like mtandaoni
 

Davidsparo

Member
Mar 5, 2015
13
20
Ipo camon 11 hapa
Wakuu inae inae hiyo krek upande wa kulia juu
Niliinununa mwenz wa 11 tarehe 2 bado n mpya na nikaidondosha ikapasuka ikiwa na wiki 1 na siku 3 tuu
Sasa nataka kuiuza
Nipo Arusha
IMG-20191125-WA0005.jpeg
IMG-20191125-WA0008.jpeg
IMG-20191125-WA0001.jpeg
IMG-20191125-WA0010.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Drone Camera

JF-Expert Member
Jul 25, 2017
11,213
2,000
rekebisha usemi kuna wauza simu humu wana maduka yao kama Godfrey Electronics sasa wewe unapotoa onyo sielewi
Hapa kila mtu kakomaa akili akiona simu akaipenda humu anawasiliana muuzaji anaiona face yake akiridhika ndo analipa

usitaku ku implant spirit mbaya kwa watu

pia hii ni sehemu ya biashara sana so ktk soko au market place mambo kama hayo hayakosi ni wewe tu kuangalia wapi kuna ukweli na uhakika

Hope nimeeleweka na sitaki tangazo hili likutwe na wageni sababu litachafua jukwaa kwa mambo ambayo yanaitaji umakini wa mnunuaji

Uwezi enda duka la vifaa used ukakurupuka kununua kitu
pia kama ujui hili soma sticky hapo juu kaweka robot inayotutahadharisha na haya yote

Lidumu jukwaa la matangazo
Ndo thread ishapigwa stiki tayari kila mgeni anaona....tunafanyeje sasa
 
Top Bottom