ONYO: Wanaonunua simu humu....!


Mmawia

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Messages
67,044
Likes
29,534
Points
280
Mmawia

Mmawia

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2013
67,044 29,534 280
Mimi sirudii tena kununua hizo Mali za mkononi sasa hivi nina note 3 naitazama kama furniture tu haitaki kufunguka
 
Kirumberumbe

Kirumberumbe

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2017
Messages
218
Likes
208
Points
60
Kirumberumbe

Kirumberumbe

JF-Expert Member
Joined Mar 28, 2017
218 208 60
Kumekuwa na matangazo mengi sana yahusuyo mauzo ya simu na vitu vingine,
ila mimi nitaongelea zaidi kwenye simu,
simu nyingi zinazouzwa humu ni vimeo utakuta mtu anajua kimeo kinaelekea kumfia anakitupia huku,
juzi kuna jfmember nusu nimpeleke polisi kama si huruma iliyonijia ghafla,

wengi wanauza vimeo vilivyoshindikana au cm za kuungaunga kwa mafundi!
USHAURI:Tuache uvivu twende madukani,simu mpya na guarantee bei rahisi,tupunguze tamaa za kupata vitu vizuri kwa bei za kutupa
Hata pia wanaotangaza madawa ya kurefusha na kunenepesha......
Mmojawapo wa kujihadhari sana naye ni anayejiita Ryoba Warioba cm. namba 0745432426 na kunadi duka lake la Entengo Herbs lililoko Temeke mkabala na Temeke Hospital. Huyu ni mtu hatari kwani hata cm yake ameisajili kwa jina la Marwa Alex
 
Elias mwasibu

Elias mwasibu

Member
Joined
Dec 19, 2016
Messages
84
Likes
29
Points
25
Elias mwasibu

Elias mwasibu

Member
Joined Dec 19, 2016
84 29 25
mbona mm nmepata cm nzr bei chee tena juz leo cku ya tatu naitumia!?? Iphone 5 na nltoa tangazo humu humu habari mchanganyiko wewe ndo uwe makin huenda ni royal in buzness
 
Miss Ritah

Miss Ritah

Senior Member
Joined
Dec 28, 2014
Messages
152
Likes
79
Points
45
Miss Ritah

Miss Ritah

Senior Member
Joined Dec 28, 2014
152 79 45
kwani toka lini JF imegeuka kuwa duka la kuuza bidhaa kama SIMU????, pili pili ule wewe kelele utupigie sisi , kwanini hatufati malengo ya JF????? ndo maana "mjini shule kijijini tuisheni". ni hayo tu kwa leo.
umewaweza
 
Miss Ritah

Miss Ritah

Senior Member
Joined
Dec 28, 2014
Messages
152
Likes
79
Points
45
Miss Ritah

Miss Ritah

Senior Member
Joined Dec 28, 2014
152 79 45
Kama ni hivyo ebay isingekuwa ina exist
Kuuza kitu ulichotumia ni kawaida niko sii nataka siii nimeitumia kweli nauza kwa depreciation value tatizo liko wapi?
maduka hawayaoni?!
 

Forum statistics

Threads 1,250,502
Members 481,371
Posts 29,735,853