Onyo wana siasa na watawara | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Onyo wana siasa na watawara

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mufiyakicheko, Jul 17, 2011.

 1. Mufiyakicheko

  Mufiyakicheko JF-Expert Member

  #1
  Jul 17, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 893
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ENYI WANA WA ADAMU

  MANENO YENU NA VITENDO VIWE PACHA

  Maneno matakatifu na matendo safi mema hupaa hadi mbingu ya utukufu wa mbinguni. jitahidini ili matendo yenu yatakaswe kutoka kwenye vumbi la nafsi na unafiki na kupata ridhaa (kukubaliwa) katika baraza la utukufu, kwa maana si muda mrefu wapimaji wa wanadamu, mbele ya utakatifu wa mwabudiwa, hawatakubali chochote ila tu wema kamili na matendo ya usafi usio na dosari. Hii ndiyo nyota ya mchana ya hekima na siri takatifu ambayo imeangaza juu ya upeo wa kusudi takatifu wamebalikiwa wao ambao wanaigeuikia. Maneno yaliyofichwa

  wanasiasa viongozi wa uma serikali tasisi mbalimbali watz wote kama utayapuuza utapotea na kubakia hisitolia
   
 2. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #2
  Jul 17, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Watawara ni watu gani hao?
   
 3. Mufiyakicheko

  Mufiyakicheko JF-Expert Member

  #3
  Jul 17, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 893
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Maneno yaliyoficwa ukisoma x2 utapata jibu
   
Loading...