ONYO: Usimfungulie biashara mwanamke uliye na ndoa/mahusiano naye

Mr Kactus

JF-Expert Member
Jan 7, 2021
510
2,944
Nimekuwa msomaji wa threads nyingi humu ndani. Leo nimeona nilete kisa changu mwenyewe humu ndani.
Husika na mada hapo juu. Ni hivi, mimi ni daktari, mwanamke niliyekuwa naishi naye ni mkulima. Kwa hiyo kuna msimu wa kiangazi anakuwa idle sana maana haendi shambani.. inaweza tokea hata miezi saba yupo nyumbani kama housewife.

Kutokana na hiyo hali na mazingira ya pale nyumbani, nikawa naona anakua bored sana na kujichanganya muda mwingi na mashosti, yani umbea umbea. Nikaona isiwe kesi, nikamfungulia biashara.

Nilitafuta frame mitaa ya soko kuu. Nikamfungulia duka-genge (nadhani nimeeleweka), yani niliweka mahitaji ya dukani pamoja na gengeni ktk kiofisi kimoja. Ikawa asubuhi napoenda kazini namdrop pale gengeni, jioni nikitoka mapema narudi home kupumzika. Ikifika muda wa kufunga, ananishtua naenda kumfuata na kausafiri kangu. Hiyo ndio ikawa ratiba.

Sikatai, yule dada mcheshi sana na ana msambwanda wa kufa mtu. Kama biashara zilivyo, akaanza kuwa na mazoea na masela wa pale sokoni. Sikua na wasiwasi kwavile nilijua ni mambo ya biashara, ukiwa kauzu sana wateja ni ngumu kukuzoea.

Kuna mwamba nilikuwa namkuta mara kadhaa mida ya jioni anasimama pale dukani kuhudumiwa analeta leta viutani vya kijinga jinga kwa wife, wife nae anajichekesha chekesha kifala fala tu. Msela ana ofisi yake ya kukopesha hela mtaa wa jirani, ila aliweka sana mazoea na wife.

Ghafla mtaji ulivyokua nikaona wife dharau nyingi analeta, mara nikitaka kumpitia jioni analeta sababu nisimfuate atafika chap na boda na visingizio vya kifala fala.

Kuufupisha mada, pale kitaa, wahuni wengi ni machizi wangu wakanitonya mchizi wa mikopo anamega wife wakanichorea ramani fresh na hivi juzi Jumamosi tukawanasa red-handed lodge, nikamalizana na jamaa na wife nikamuachia. Naskia mwanamke amerudi kwao na kwangu anaogopa kurudi, kamtuma rafiki yake afuate nguo...

My Take: Kama upo vizuri kiuchumi, mahitaji unayakamilisha home na familia, unaweza kuitunza usimfungulie biashara mwanamke. Mfanye tu awe mama wa nyumbani akulelee watoto wako.

Samahani kwa uandishi mbovu, nilikuwa night jana usingizi mwingi sana sikulala kabisa
 
Nimekua msomaji wa threads nyingi humu ndani leo nimeona nilete kisa changu mwenyewe humu ndani.

Husika na mada hapo juu. Ni hivi, mm ni daktari, mwanamke niliyekua naishi nae ni mkulima. Kwahyo kuna msimu wa kiangazi anakua idle sana maana haendi shambani.. inaweza tokea hata miezi saba yupo nyumbani kama housewife.
Tatizo sio kufungua biashara ila akili zake mwanamke hata huko huko nyumbani anaweza kupumuswa na njemba jirani tu...

My take Mwanamke ni akili asipokuwa nazo basi ni sex toy tu hamna atakachoweza kukuongezea.
 
Hivi hawa wanawake tunaopambana kuwalinda na kuwaepusha na kumegwa na masela hawana kabisa maamzi linapokuja suala la kutongozwa?

Wao ni wa kuvutwa tu na kumegwa kama kuku jike?

Kama hawana hayo maamzi basi tupambane sana kuwalinda na ikibidi tuwafungie ndani kabisa ila kama wanayo maamzi (kukataa au kukubali kwa ridhaa yao) basi tuwaache wafanye kinachowapendeza vinginevyo tutaendelea kuuana kwa wivu wa mapenzi kana kwamba hatuna akili timamu.

NB: Ukikamata anazini timua oa mwingine au ishi single
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom