Onyo: Usijaribu kupambana na paka ndani kwako

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,552
Paka ni mnyama hatari sana akihisi kuna hatari. Haijalishi umekuwa ukimpa msosi kila siku.

Paka akila mboga kwa uzembe wako, mwache tu. Usijaribu kuanza kumpiga. Usijaribu!

Kukuparua usoni na kukunyofoa macho ni kitu cha sekunde 1 tu. Otherwise uwe unapambana nae huku ukijua kuna kaupenyo mahali ambako anaweza kuchomoza.


Lakini usiharibu kufunga milango yote na kuanza kupambana na paka.

Atakuua bure.
 
Hizi ni stori tulikua tunahadithiana pale shule ya msingi Msisiri tukikaa mbele ya gesti ya Golden Rose.

Hakuna kitu kama hicho kwa paka.
Hahahahah a fully grown cat will scratch your face Severly
 
Kuelekea Kariakoo Derby ngoma iko palepale paka wote uwanjani kwa Mkapa, atishiki mtu hapa.
 
Paka wa sikuizi wazembe sana, wanaogopa mpka Panya.

Sembuse binadamu aliezamilia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom