Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,552
Paka ni mnyama hatari sana akihisi kuna hatari. Haijalishi umekuwa ukimpa msosi kila siku.
Paka akila mboga kwa uzembe wako, mwache tu. Usijaribu kuanza kumpiga. Usijaribu!
Kukuparua usoni na kukunyofoa macho ni kitu cha sekunde 1 tu. Otherwise uwe unapambana nae huku ukijua kuna kaupenyo mahali ambako anaweza kuchomoza.
Lakini usiharibu kufunga milango yote na kuanza kupambana na paka.
Atakuua bure.