ONYO:- Tahadhari kabla ya kufungua bia au soda

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,462
154,332
Kuwa makini ukinunua soda au bia.
Hakikisha wakati wa kufungua umeangalia vyema mazingira na watu uliokaa nao.
Wakati wa kufungua hakikisha Mmakonde kama yuko jirani yako asiione gesi ikitoka, kwani utachezea kichapo cha mbwa mwizi.
Wamakonde wana uchungu sana na gesi, wanajua kuwa kila gesi ni yao.
Stay peace and blessed
 
hawa chinga hawana ujanja, kiboko hawa hapa

military-funny-dinner.jpg
 
Nina ngumi proof, helmet na mbio pia zipo ninazo tele.
Mbali ya hapo nina kipaji cha kukwepa, nilishawahi kukwepa matone ya mvua kipindi kile cha el nino

hahahaaaa.... Kumbe...!!! Ndio maana unajitutumua hivyo.....! Ngoja na mimi nilianzishe maana naamini utanibeba mgongoni tukimbie wote lol!!!!!
 
Nina ngumi proof, helmet na mbio pia zipo ninazo tele.
Mbali ya hapo nina kipaji cha kukwepa, nilishawahi kukwepa matone ya mvua kipindi kile cha el nino

Kha ha ha ha haaaaa! Bujibuji umenikumbusha ule mwaka 1998 hata nami hayo yako yamenipataga enzi hiyo!
 
Last edited by a moderator:
Kuwa makini ukinunua soda au bia.
Hakikisha wakati wa kufungua umeangalia vyema mazingira na watu uliokaa nao.
Wakati wa kufungua hakikisha Mmakonde kama yuko jirani yako asiione gesi ikitoka, kwani utachezea kichapo cha mbwa mwizi.
Wamakonde wana uchungu sana na gesi, wanajua kuwa kila gesi ni yao.
Stay peace and blessed
Undertaker kuna kijana amechoka kuishi huku
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom