Onyo:msilipe bili zenu za dawasco kwenye tigo /voda pesa kilichoandikwa kwenye simu zenu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Onyo:msilipe bili zenu za dawasco kwenye tigo /voda pesa kilichoandikwa kwenye simu zenu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Jul 28, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jul 28, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,495
  Likes Received: 5,725
  Trophy Points: 280
  Hii ni onyo kwa watanzania wenzangu msikubali kulipa bili zenu kwa kutumia hizi togopesa ama voda pes wapenzi
  kuna vituko vimetokea hapa kimara dawasco mpaka sina hamu..kuna bili walileta kwa wazazi tukaenda kulipa sasa sijui aikuingia kwenye comp yao ama lah..wakaja nyumban wakakata maji kisa akukuwa na risit..nikaitafuta sana sana nikaja kuipata baada ya wiki mbili nilipowafwata wakadai niwapeleekee bili zao zote..nikawambia kwa nini kwani tunapolipa akuna kumbukumbu??wakasema watarudisha maji pale nitakapopeleka bili za nyuma ..jaman nikabishana na huyu mtu baadae akaja mama mmoja akamwambi a si uangalie kwenye records zako..yule mama alipoondoka yule kijana akadai naomba nipate namba za mita yako utuletee ..nilimtukana kwa kweli nikashindwa kuvumilia nikampigia mzee mmoja makao makuu yao akasema nimwone meneja..nilipomweleza alisikitika sana sana akanirudisha kwa jamaa na kumuu;liza nani anapaswa kusoma mita namba wewe ama mteja..yule jamaa akajiona mpuuzi nikalipa kiasi akaagizwa watu wa kunifungulia...walipokuja kufungua wakata niwape alfu tano nikawambia naomba nimwombe bosi wenu mmoja aje kuwalipa mkifika tu ofisini

  sasa basi hiyo ilikuwa mwezi wa tano..ilipofika wa sita nikaletewa bili ya june 120,000 nikakaa kimya majuzi nimepokea bili ya 132,568 wapenzi sijui hata hizi bili zinatokea wapi na tangu nilipe zile namba azijazidi hata 15,,nimempigia bosi wao mmoja amesema nipeleke hiyo sms..nikaona niwaambukize bandugu wale mnaokimbilia kulipa bili kupitia simu zao kisa sms imetumwa kiasi kadhaa noma unawalipia wahindi wa mjinindgu yangu haka kamchezo kako tanesco pale magomen una deni la lakini tano unalipa laki mbili wanaingiza mfukoni hizo wanaenda kuamishia hilo deni kuangalia nani ana lipa kidogo kidogo ama analipa nyingi wanakuongezea...ni noma

  amkeni jamani sio mpaka tuandamane kurekebisha hizi bili za wahuni wachache
   
 2. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #2
  Jul 28, 2011
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  dah....... hii nci haitokuja kuendelea wallah! watu kama hawa ni wa kunyongwa .
  Pdidy unajuwa kuna nchi mla rushwa hukumu yake kifo....
  baada ya kumalizika olympic za beijing kuna boss alinyongwa baada ya kugundulika alitoa tenda kwa upendeleo,

  tzn hata kama hakuna huku ya kunyongwa kunatakiwa tuwe na maximum penalt kwa watu wa aina hii...
   
 3. Money Maker

  Money Maker Senior Member

  #3
  Jul 28, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 147
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Poleee,mie natumia kisima changu na umeme wa jua,karibuni mto wa mbu!
   
 4. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #4
  Jul 28, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,495
  Likes Received: 5,725
  Trophy Points: 280
  viper kilichonishangaza zaidi ni wakati naandikiwa nikafunguliwe yule bana akadai bili yako itakufwata ulipo..sasa nimejiuliza huyu ndie kaituma ile bili ama lah..bimdogo(mama mzazi anaeelekea huko leo ntawajuza nimewaandikia mwisho wa bili na mita namba alfu wanisaidie kujua hizo zimetokea wapi unajua watadai walikosea wakaniandikia bili za mtu kama pale tanesco ukiwashtukia tu anaamka mmoja ooh my god waliingiza bili ya Patel ama ramesh patwa ndio porojo zao sasa kama wanaweza kudumbukiza bili ya patel kwako wangapi wamelipa bili MAPATELS,PATWA'S
  Mungu wala asiwasamehe siku za karibuni wahuni kama hawa
   
 5. M

  Mike 1234 JF-Expert Member

  #5
  Jul 28, 2011
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 1,634
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  du asante sana nimepa uelewa
   
 6. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #6
  Dec 14, 2013
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,043
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  tuzidi kukumhushana....
   
 7. Fadhili Paulo

  Fadhili Paulo Verified User

  #7
  Dec 14, 2013
  Joined: Sep 1, 2011
  Messages: 3,241
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 135
  hapo mimi naona hakuna kosa upande wa tigo pesa wala m-pesa.
   
Loading...