Onyo kwa wanaume mnaotaka kuingia kwenye ndoa

Kwani Diamond ni nani? Yaani diamond kutembea na wale Malaya unazani anaweza kumla kila mwanamke?

Naomba urekebishe hapo! ...kuna wanawake wengi tu wanajitambua na hawawezi vuliwa chupi kwa kipande cha fedha! Tena wapo wengi sana ukiachilia mbali wadangaji!


WAPO WANAWAKE WANA HESHIMA ZAO BWANA TENA KIBAO TU! Hawawez tembea na diamond iwe mvua iwe jua,
Upo 1999
 
Hilo swali la mwisho linanitesa sana katika ndoa yangu

Acha tuishi tu
Hizi familia zetu za Kiafrika uki asili mtoto yatima umlee, ndugu hawatamuona kama ni ndugu wa damu na ukifa wanaweza kumnyang’anya mali ukizomuachia.
 
Habari za muda huu ndugu, jamaa na marafiki zangu wa JF,

Leo nitakwenda fastafasta maana hamnilipi, ambae atanielewa sawa ambae atapuuza sawa pia;

Kwanza cha kwanza kwa utafiti nilioufanya kwa hizi siku kadhaa nilipokuwa kimya nimegundua kuwa kumbe wanawake wa sasa wanaingia kwenye ndoa kwa lengo la kutimiza mahitaji yao tu, Hitaji lao kuu likiwa ni kujiingizia kipato kutoka kwa ATM MACHINE ya mwanaume, nakuambia hivi mapema ili ujipange kuwa utakapoamua kuoa basi uhakikishe una hela za kutosha na haziishi, Sasa wewe jifanye unaoa ili kutimiza agano uone kama Ujaishia kufa au kwenda Jela kwa kesi ya mauaji.

Unapoamua kuoa ujiandae kuwa mpole, Kuwa mpole ni kuhakikisha hufuatilii mkeo anafanya nini (hii inahusisha sana masuala ya mawasiliano na simu) Wanasema ukichunguza bata hutomla, kufuatilia simu yake ni kifo kumaanisha Utaua au utakufa wewe kwa mawazo ama Presha. Hapa watatokea wengine "Oooh me Simu ya mwanamke sifuatiliii achepuke asichepuke atajua yeye" Bro, usiseme hivyo ngoja nikuulize swali, sawa humfuatilii je, kwa mfano wewe umejitunza vizuri then siku moja unagundua imeathirika Yaani una Ukimwi je, unasema hutoua? Kiufupi ni kwamba kuamua kuingia kwenye ndoa ni kujitoa muhanga.

Embu jiulize Mkeo ikitokea akatongozwa na mtu kama Diamond Platinumz je, atachomoa? Ni mfano wa kipuuzi ila kama una ufahamu mkubwa utagundua kuwa wanawake wa sasa wapo kimaslahi zaidi Yaani hamna upendo wa kweli kabisa, sasa kama ni hivyo Unaingia kwenye ndoa ya nini?

Unatafuta pesa kwa hali na mali unapata, Unaamua kuingia kwenye ndoa, siku mnagombana mnataka kuachana anataka mgawane Mali, Alafu mahakama inaweka uzito kwake unakubali Mali inapigwa mgao na pimbi ambae hajakusaidia kuzitafuta, Sasa Kwa Hali hio naanzaje kuingia kwenye ndoa?

Leo kuna wamama watu wazima wapo kwenye ndoa zao nimewasikia wanajadiliana jinsi ya kuhakikisha ATM zao zinajaa pesa Kutoka ATM ya Wanaume zao, Alafu sijui kwanini wanapenda kutumia Jina "Mbwa" kuwakilisha Wanaume zao?

Juzi nilihudhiria harusi ya jirani yangu wakati wanaapa pale mbele kuishi pamoja kwenye shida na raha. Kicheko kikaniponyoka nikajikuta nacheka kwa nguvu Watu wakanigeukia nikazuga na chafya,

Mwisho ni kwamba ewe kijana mwenye mpango wa kuingia kwenye ndoa embu jaribu kwanza kubana pumzi bila kupumua kwa dk 2, Ukiweza kuvumilia zikafika dk mbili basi uvumilivu unao mkuu, nenda kafunge ndoa.
Usitishe watu..wewe kama ndoa imekushinda endeleza unalaya wako..acha watu waishi maisha yao..mbona tunapangiana sana.?

#MaendeleoHayanaChama
 
An
Kuna mtu job ananiambiaga ndoa tamu kijana oa sisi tulioona tunafaidi.

Ila ukimuona, kavaa shati lina alama ya mstari nyuma mgongoni kuanikwa kwenye kamba, nywele rafu rafu, kazini anaondoka saa 12 jioni ata kama hana shughuli, yaani unajiuliza uyu anafaidi nn sasa.
Anachelewa toka kazin kwasabu bora akiwa mazingira hayo kuliko uko nyumban, kifupi home panawaka 🔥🔥😆😆😆
 
Kabla ya kuoa wanaume jiulizeni kwanza
1. Unamuoa nani?
2. Kwanini una oa

3. msipobarikiwa mtoto ndoa yenu itadumu?
Maswali muhimu sana na fikirishi hayo mkuu_lakini wengi huwa hatutaki kuangalia matokeo badala yake tunakimbizana na mchakato wenyewe wa KUOA...
 
Back
Top Bottom