Onyo kwa vijana wenzangu wanaotumika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Onyo kwa vijana wenzangu wanaotumika

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kurzweil, Jul 22, 2012.

 1. Kurzweil

  Kurzweil JF-Expert Member

  #1
  Jul 22, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 4,899
  Likes Received: 4,751
  Trophy Points: 280
  [h=6]
  CCM IMESHINDWA KWA HOJA SASA WAMEANZA MFUMO MPYA WA KUVAMIA MIKUTANO YA VYAMA VYA UPINZANI KWA KUWAATUMIA VIJANA

  MKIKUBALI KUWEKA MAISHA YENU REHANI MTAKUFA WENGI KWANI HASIRA ZA WATANZANIA KWA CCM ZITAKUWA JUU YENU

  KWANINI UKUBALI KUTUMIKA TENA KWA JAMBO HATARI?THAMANI YA UTU NA MAISHA YAKO NI ZAIDI YA CCM

  HIZO NI DALILI ZA KUANGUKA KWA DOLA YOYOTE ILE ILIYOSHINDWA KUKABILIANA NA CHANGAMOTO ZA MAISHA YA RAIA WAKE

  FIKRA POTOFU ZA MAKADA WA NGAZI ZA JUU WA CCM ZITATUMBUKIZA KWENYE MACHAFUKO SIKU MOJA

  [/h][​IMG]
   
 2. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #2
  Jul 22, 2012
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Kwanza Chama kinachoongozwa na watu kama Nape kinawatu Timamu kweli ? -Sijui !

  Nape ni Gunia la misumari wache limle Kikwete na Wanaccm wenzake
   
 3. Kurzweil

  Kurzweil JF-Expert Member

  #3
  Jul 22, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 4,899
  Likes Received: 4,751
  Trophy Points: 280
  ulizipata propaganda zake za jana mkuu
   
Loading...