Onyo kali! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Onyo kali!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Radio Producer, Mar 4, 2011.

 1. Radio Producer

  Radio Producer JF-Expert Member

  #1
  Mar 4, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Jaman kwa mujibu wa maombi ya nabiii mmoja aliyekuwa naiombea chi ya Tanzania amepata jibu kuwa: MACHAFUKO HAYATAKUWEPO TU ENDAPO KILA MTU ATAJITAMBUA NA KUFANYA TOBA YA KWELI.

  Ndugu zangu naomba kila mmoja aisomapo hii thread ajitakase mbele za Mungu, ni vizuri tu kuona wenzetu wamebeba mabegi na kujitwika mabeseni wakikimbia nchi zao kwenye TV. Ni uchungu mno yakikukuta naombeni ndugu zangu tufanye juu chini tutubu!
  Asanteni noma.gif
   
 2. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #2
  Mar 4, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,750
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  kweli ww ndie radio producer,..yaan kila mtu akitubu dhambi zake(akiacha uovu) hakika machafuko hayatakuwepo na hili haliitaji unabii wala nabii kutabiri ,....
   
 3. Twilumba

  Twilumba JF-Expert Member

  #3
  Mar 4, 2011
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 6,142
  Likes Received: 869
  Trophy Points: 280
  We Radio Producer, ninayo Imani kuwa kama kweli wewe ni Poducer wa Radio basi ni dhahiri unajua maadili ya Uandishi wa habari japo kwa ABC's kama wengine wanavyojua ya maadili ya taaluma yao.

  Swali: Kama uhakika wa kinachosemwa Why source disclosed?

  My take: huo ni uzushi mwingine wa vitisho kama wa sheikh Yahya ntaamini kidogo ikiwa una-attribute source yako ya hii habari.
   
 4. Radio Producer

  Radio Producer JF-Expert Member

  #4
  Mar 5, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Wewe wasema
   
Loading...