FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 37,890
- 43,782
Natoa onyo kali kwa vi-teller vyote hapa jijini vinavyojifanya vijanja kwa kuchanganyia watu noti feki, maana nimewawekea mtego mkali sana!
Namna wanavyofanya:
Unaenda let's say na 1 million original kabisa.., anachofanya yeye ni kukuangalia ukijisahau tu anachomoa noti moja original na kukuchomeka elfu kumi yake feki, then anajidai kukurudishia (baada ya kutoboa) eti kwamba ni feki. Nimemuwekea mtego teller mmoja in particular.., awe makini sana! hata ijua dakika wala saa ya kiama chake..,