miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,821
- 48,973
inategemeana na aina ya nywele nyingine ni nzito nyingine ni nyepesi .. zikipata maji huwa zinavunda ndiyo maana tunaweka mifuko ya ramboTii sheria bila shuruti,hivi hizo nywele huwa ni nzito au nyepesi.Maana huwa naona kama mizigo ya kilo 4 na kuendelea.Halafu jana mvua ilipokuwa inanyesha maeneo ya kinyerezi kuna wadada walikuwa wanahangaika kununua mifuko ya rambo na kufunga vichwa ili kutolowana na kuwa nzito,kazi ipo.