ONTARIO'S JF Exclusive Interview: Ujasiriamali na harakati za maisha kwa ujumla

Mmmh hapa ndipo napataga wasiwasi nikiunga dots juu ya maelezo yako...

Umesoma kenya miaka 8 na umedrop mara kadhaa.... then ukafika hadi degree......

Kweli una miaka 21 braza.... au ndio unawapa watu hamasa ya kutochoka kujaribu.

Sent from "La -Vista"
Amesema ni typing errors ana miaka 23 soma uzi vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Great spirits have always encountered violent opposition from mediocre minds." Albert Einstein

Hata kwny fiction huwa kuna cha kujifunza, so hawa wapingaji wanastahili kupuuzwa tu

Huu ndio ukweli kabisa mkuu!! Tatizo ya watu wa ivyo hawakubali kua nyumri a.k.a umri umewakimbia. Sasa wanabakia kuangusha wengine kwa umri wao.
Na kibaya zaidi wana force watu wawaunge mkono kwa ubwege wao ambao hautawasaidia kabisa. Cha muhimu kwao wala hawajachelewa kubadili gia angani.
Basi ukiwa wambia basi muhojiwe nyie hawana cha maaana cha kuweka hapa zaidi ya mapovu tu n jazba zakuchelewa kwao.
ONTARIO THE GREATE
we are together
HATERS .
 
Mkuu 666 chata,

Katika bandiko lako hapo juu unajitanabaisha kama mwanasaikolojia… yaweza kuwa kweli ila hautendei/haukitendei haki taaluma au kipaji chako...

Binafsi nafaham sifa kubwa ya mwanasaikolojia yoyote lazima awe na good communication skills kwa maana good writing skill, reading skills, listening skills na speaking skills… Unapokosa kosa baadhi ya sifa hizi kuna uwezekano wa kuruin watu because of failure to study them.

Sasa kama five figures in usd(nikilijea bandiko la Ontario) unasema ni usd laki tano(nikirejea bandiko lako),implying umekiuka misingi ya mwanasaikolojia ambaye anapaswa kuwa na good reading skills....! au haujui pesa iliyo katika five figures ni range ya 10,000 mpaka 99,999...???:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D au ulikimbia umande wa hesabu..??? Na ukikonveti billion zinakujaje hapo..??

Mkuu ni ukwel usiopingika hata nikisema niunge mkono hoja yako kwamba Mkuu Ontario anababahisha, ila katika kubabahisha huko jamaa amefanya kazi kubwa ya kuwafungua watu akili juu ya mambo fulani yanayohusiana na maisha ambayo kwa wingi wetu tulikuwa hatuyafahamu...!

Kweli dunia hadaa ulimwengu shujaa, mimi niko bize nasoma mambo ya msingi mkuu aliyoandika ila kuna mwingine yuko bize anaconnect dot kwa information ambazo anakili hazijajitosheleza ili kumuumbua mtu...! Ingekuwa hekima kama ungeuliza kuliko kuhitimisha analysis yako through unreliable information.

Sasa hukutaka tuchallenge validity ya information zitolewazo? Sasa muda wa kuyaandika haya wewe umeutolea wapi? Hauna kazi zingine za kufanya? Saikolojia pia imentuma kua unataka sympathy na ontario mwenyewe akujue, basi haikua haki wewe kumjibia ontario mathalani yeye ndio alikua mlengwa!

Hauna locus standi na hupaswi kujibiwa lolote kaa tu kimya.
 
Nlichokiona humu ni kwamba Ontario ana fake mambo mengi sana, mfano utaona hasemi kabisa zile hela za mtaji alikua anatoa wapi na zilianzaje anzaje hadi zikawa hivyo ona anasema alizulumiwa million 6 na mwarab wakati anaanza biashara chuo uku akisahau kua alituambia alikua na kama laki mbili alipotoka jkt akaanza mtaji wa kuku ambao anadai baadae ulikufa tena, you see.

Kila sehemu anasema quotes na misemo tu kama watu wa forever living story nyingi za kujisifia ila hataji mwanzo wake wa kupata alichokipata kilianzaje na ikaendaje hadi kufikia hapo.

Kasema kua ukipenda likes za wanawake atleast uwe na karibu dola laki tano za kimarekani ambazo ni karibu bilion moja, which means yeye anayo, sasa mkuu wewe billion moja unayo? Mbona tukipiga hesabu chapu hapo na kwa muda uliotoka chuo na vile ulivyojielezea kufeli na kufaulu kwako kwenye biashara mzee icho kiasi ukifikishi.

Ontario sisi wengine ni wanasaikolojia tunaweza kukutambua tu fika kwa kusoma maandiko yako na the way unavyojaieleza mkuu kuna vingi unawadanganya hawa na ume exaggrate mambo mengi, sio hata ma hater kama utakavyo zani ila tunachallange validity ya habari zako.

Huu uzi personally nilishaufunga... Lkn hua kuna watu wanaamkaga asubuhi wanafikiria na kuumiza kichwa wafanye nini ili kila mtu ajue kua wao ni wajing@, yani wanajiapia kabisa kua piga uwa galagala lazima wafanye kitu cha kujidhalilisha.

Unapata wapi utashi wa kusema kua nipo fake wakati watu wanafahamu real identity yangu, watu humu JF wengine tumekutana in person wkt huo wewe ambae upo real hakuna hata mtu anayejua kama wewe ni mwanaume au mwanamker, ajuza au kijana.

Nimeeleza hata biashara ya kwanza niliyotia mikono yng nikiwa shule ya msingi, nikaelezea kuhusu nilivyoanza na elfu 20 kusupply maandazi high school, na mwishoe jinsi nilivyoanza na broilers 50, baadae nilivyoweza kusave mkopo wa chuo kufinance biashara yangu ambayo inakua na kuniingizia profits ambazo nazo nazireinvest.

It's either you are over obsessed with me ama basi una elimu duni sana... Apparently unazungumzia Bil 1 ambayo roughly ni $450,000 (ambayo ni 6 figures) Na mimi nimezungumzia at least 5 figures USD. Huko shule nyinyi mlikua mnaenda kusomea ujing@?? (kwa sauti ya FF).

Alafu unajiita mwanasaikolojia wakati huo huo unadraw conclusions on my behalf. Unaassume kunijua zaidi ya ninavyojijua boss wangu. Psychology 101 - Freud's ego inaelezea zaidi kuhusu saikolojia nyuma ya mtu anayetanguliza self - defence ili kuficha hisia zake halisi, ndicho ulichokifanya kuongea hatred afu mwishoni unajitetea kwa kusema "Sio hater kama unavyodhani" - ulijuaje kama nitadhani wewe ni hater

Kuna mtu aliwahi kusema kirefu na neno haters ni
H - having
A - anger
T - towards
E - everyone
R - reaching
S - success
 
Jamaa hapa ndio nimejua una uelewa mdogo sanaa, angalia namna unavyojibu maswali, nguvu unazotumia kujibu maswali rahisi tu, kama haufake mbona umejibu swali langu kwa hasira kali na matusi juu?

Mkuu, embu turejee kile ulichokisema, uzuri biashara zote izo umezisema mwanzo wake hadi mwisho wake na mpaka zilivyokufa na kuzulumiwa kiasi ukaenda kujaribu bahati yako maisha plus, sasa ukirejea stori hizi na mafanikio unayoyaeleza plus muda uliotoka chuo na matukio yote hayo kuna ukakasi mkubwa na kuna uwalakini sanaa wa haya unayowaambia watu!

Ume exaggrate vitu vingi sana, na unaonekana wewe ni miongoni tu mwa wajasilia mali wadogo wadogo hawa wenye maneno mengi kama wale wa forever living na ilihali ata mafanikio uliyonayo ni madogo au ya kawaida tu, sasa tukijaribu kuwauliza mnakimbilia kusema ooh mnachukiwa au mnaonewa wivu which is sad to see.

Umesema kua et wewe watu wanakufahamu sana lakini sijaona ata mmoja humu aliekuuliza swali kuhusu shughuli zako kwa ukaribu zaidi as if anajua ila wengi wanatumia refferences ambazo wewe mwenyewe uliwai kuzisimulia humu JF, sasa unadai hoja ya original ID wakat wew mwenyewe unatumia fake id na kujifanya watu wanakufahamu? Au ndio muendelezo ule ule wa kufake.

Umenishambulia kuhusu elimu nikaishia kucheka tu, mtoto aliemaliza chuo 2016 yaani mwaka jana mimi nikiwa tayari nna LLM na nimeshapita Law School, mbaya zaidi ndio wale vijana waliomaliza form 6 wakaenda Jeshi hahahaha.

Anyway sifikirii kukujibu tena au kupoteza muda wangu kusoma uzi wa kijingakana huu
 
Ontario mm sikufahamu wala sijawai kuonana na wewe zaidi ya hapa JF ila nimeyokea tu kwa natural psychology yangu....mm sijasoma psychology bwana...yaani by intuitions tu nimetokea kukufahamu sana...na hata siku nitakapobahatika kukutana na wewe nitakuonyesha kwenye charts za yale mambo yetu siku ambayo ulitrade...ila nitataka tu unifungue macho kilichokusukuma ukatrade hapo ni nini???

Psychology yangu Kali sana mkuu...utakuja amino siku tukikutana...

Psychology weeeeeeeee......HATERS..hahahaaaaaaa
 
Jamaa hapa ndio nimejua una uelewa mdogo sanaa, angalia namna unavyojibu maswali, nguvu unazotumia kujibu maswali rahisi tu, kama haufake mbona umejibu swali langu kwa hasira kali na matusi juu?

Mkuu, embu turejee kile ulichokisema, uzuri biashara zote izo umezisema mwanzo wake hadi mwisho wake na mpaka zilivyokufa na kuzulumiwa kiasi ukaenda kujaribu bahati yako maisha plus, sasa ukirejea stori hizi na mafanikio unayoyaeleza plus muda uliotoka chuo na matukio yote hayo kuna ukakasi mkubwa na kuna uwalakini sanaa wa haya unayowaambia watu!

Ume exaggrate vitu vingi sana, na unaonekana wewe ni miongoni tu mwa wajasilia mali wadogo wadogo hawa wenye maneno mengi kama wale wa forever living na ilihali ata mafanikio uliyonayo ni madogo au ya kawaida tu, sasa tukijaribu kuwauliza mnakimbilia kusema ooh mnachukiwa au mnaonewa wivu which is sad to see.

Umesema kua et wewe watu wanakufahamu sana lakini sijaona ata mmoja humu aliekuuliza swali kuhusu shughuli zako kwa ukaribu zaidi as if anajua ila wengi wanatumia refferences ambazo wewe mwenyewe uliwai kuzisimulia humu JF, sasa unadai hoja ya original ID wakat wew mwenyewe unatumia fake id na kujifanya watu wanakufahamu? Au ndio muendelezo ule ule wa kufake.

Umenishambulia kuhusu elimu nikaishia kucheka tu, mtoto aliemaliza chuo 2016 yaani mwaka jana mimi nikiwa tayari nna LLM na nimeshapita Law School, mbaya zaidi ndio wale vijana waliomaliza form 6 wakaenda Jeshi hahahaha.

Anyway sifikirii kukujibu tena au kupoteza muda wangu kusoma uzi wa kijingakana huu
Hater

Mkuu kalale basi umemaliza...sasa wewe na LLM yako unabishana na mtoto wa juzi....ambaye analipa rent $900 kwa mwezi...kweli we wa ajabu....
 
Jina zito afu unachotwa akili kizeembe..... nyie ndio wa forex trading nini...... iyo $900 kwa mwezi una ushahid wowote....

Au ndio references za jf.
Acha wenge....

Atawakazia saaana dada zenu huyu jamaa.... doh.

Tulishakuja kwako kuomba....tukilizwa inakuuma nn...kuna mtu unamlisha hapa Jf au unamlipia matibabu akiumwa????pambana na hali yako mkuu ..hakuna mtoto hapa sisi wote watu wazima na tunapofanya maamuzi ni yetu na kama ni kujutia tutajutia sisi...haki kwenye hicho kisiwa ukichopo ..dunia imebadilika mkuu...we endelea na huo ujima wako..
 
Sawa kaka ake ontario.

Sent from "La -Vista"
 
Jina zito afu unachotwa akili kizeembe..... nyie ndio wa forex trading nini...... iyo $900 kwa mwezi una ushahid wowote....

Au ndio references za jf.
Acha wenge....

Atawakazia saaana dada zenu huyu jamaa.... doh.

Sent from "La -Vista"

Awakaze tu wakijilengesha..
 
Hahahahaaaaaa....ngoja tu nicheke niongeze siku zaa kuishi maana JPM anataka kuniua na stress
Ontario ndio atawaua..... usimsingizie bwana mkubwa.

Muna haraka saana kumfikia ontario bila kujua where he has been through.....

Shaur yeenu.... nyie jichanganyeni tu bila kufanya calculation ya time.

Amini amini nakuambia...
Hata ukipewa billion moja leo hii.... ukapewa muda wa miaka mi5 uizungushe...... kamwe hautaweza fikia utajiri wa dangote hata nusu.

Jiulize kwa nini....
Na jijibu unahitaji nini ili kumfikia dangote zaid ya iyo billion.

Maisha ya mafanikio... sio marahisi kwa kusoma makala za ontario.

Fight kijana.... kuwa na malengo na sio ndoto...implement idea yako kwa actual ground.

Utaelewa tu.

Sent from "La -Vista"
 
Back
Top Bottom