Ontario (Sirjeff) ametuleta fursa kwa mara nyingine

We ni mjinga wa mwisho kama ana malengo aliyojiwekea yanahitaji pesa, kwa nn asijifundishe yeye akapata pesa ili atimize hayo malengo??
Endeleeni kuibiwa hadi mpatw akili maana vichwa vyenu vimejaa maji ndani
Hakuna atayekufundisha mjini uishi vipi, ni akili yako na kujiongeza tu, hawa motivational speakers ni wajinga na wapumbavu kupindukia!

Ndio matatizo ya vijana wa kitanzania kujifanya tunajua kila kitu. Hao speakers wapo hata nchi zilizoendelea na kuna watu wana elimu, mafanikio kuliko wewe na wanawasikiliza kwa malipo.

Maarifa yanatafutwa kwa gharama, wewe unakumbatia ujinga wa kujifanya mjuaji.
 
Kwahio anapata pesa kwa kutapeli wengine ? Kwanini hii fursa asiifanye bure ..je ni kila kijana mwenye uwezo wa hio elfu 40?
Au kama vipi kwanini hayo anayoyakusudia kusema ya kubadilsha laki moja na ishirini kua milioni 100 asiyaandike tu hapo instagram au aka jirekod video na kuiweka you tube, then again je ni vijana wote wenye simu za smartphone ..well good for the kid anatafuta hela ila asidhulumu elfu 40 za vijana maskini wa kitanzania
alikufata akakwambia "nipe 40,000 yako"???

au alikuita kwa jina kabisa njooo na nipe????
 
Watu wamefundishwa forex na wanaifanya hadi leo,wengine wananufaika na wengine wanatafunwa,huo utapeli wa Sir jeff sijawahi kuuona!! Japo kuna wakati mimi pia nilianza kuamini maneno ya haters kuwa huyu jamaa katapeli watu,kuna mwanafunzi mmoja wa ontario alikuja kunifundisha forex bure baada ya yeye kufundishwa kwa malipo,na hadi sasa naweza kusema huyo jamaa amenisaidia sana,naanza kuona mwanga wa mafanikio kwa forex,nawezq angalau kuingiza dola kumi hadi ishirini kwa siku nzuri nisipoingiza tamaa,kinacho wa cost traders wengi ni tamaa ya kuwa matajiri ndani ya wiki,sijui kama ontario aliwafundisha kuwa wanaweza kuwa ma milionea ndani ya mwezi!! ONTARIO ni kijana mpambanaji aliyejaaliwa vipaji lukuki na anayeweza kuvitumia vipaji vyake vyema kujiinua kiuchumi na kuwainua wengine,ila wabongo kwa fitna wamefuzu.

Ya vipaji vyake ikiwemo na ndio kikubwa cha kula pesa za misukule, wajinga nyie
 
kama kafanikiwa na anataka vijana wafanikiwe

1.Afundishe bure ufugaj kuku hata insta tu hatutak semina

2.kilimo afundishe insta

3 . afundishe izo janja janja zake za forex insta

4 Aende na Amani ya bwana

lasivyo ni Wizi mtupu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Yani unampangia kwamba akufanyie kama unavotaka wewe,,, ni mama ako huyo au baba ako au shangazi yako
kama kafanikiwa na anataka vijana wafanikiwe

1.Afundishe bure ufugaj kuku hata insta tu hatutak semina

2.kilimo afundishe insta

3 . afundishe izo janja janja zake za forex insta

4 Aende na Amani ya bwana

lasivyo ni Wizi mtupu


Sent from my iPhone using JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama kweli hela anazo na anataka kuwapa watu ujuzi a fanyeni for free hiyo mishe. All I see is some stupid show for those who can't handle business accurately
 
Kama kweli hela anazo na anataka kuwapa watu ujuzi a fanyeni for free hiyo mishe. All I see is some stupid show for those who can't handle business accurately

thats true atakae pingana na hii point akapimwe akili ...kwa sababu huwez sema unasaidia maskini alafu una wacharge pesa ...lasivyo akae na ujuzi wake maana kuna free lestures youtube kwa kina robert kiyosaki , vusi thembekwayo , Grant cardone ...na insta zao pia ...muhimu bundle tu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ukisoma maandiko mengi ya jamaa, kuna kitu kimoja utaki Note..

Kwanza kabisa, jamaa huwa anaandika kanakwamba yupo kazini.. we utajiuliza kazi ipii? Jamaa anatenga mda wake mwingi kuandika, sio kwakuwa anawapenda wasiokuwa nacho... ila tuu anapambana kuongeza wafuasi wanaomuamini maana hao watu wanaomuamini ndo chanzo chake kikubwa cha mapato.....

Halafu sidhani kama kuna haja ya kupiga ramli ili ujue jamaa anaandika story za kusadikika ili tu uzame kwenye mtego wake...
Eti upigiwe simu na follower akuombe 2m umpe.....


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom