Ontario (Sirjeff) ametuleta fursa kwa mara nyingine

wenzako we jangid wa kina John Jackson wazee wa fintegri wanataka kufunga nini? maana hawa wanatapeli zamu kwa zamu

serikali chukueni hatua jamani watu wanalizwa
Hao wanaolizwa nao ni wapumbavu tena utakuta na wengine tunao humu humu,kwanini wasichukue hatua wao mpaka serikali mkuu? Serikali ina mambo mengi ya kufanya,haya mengine tunafundishana sisi kupitia mitandao kama hii,muhimu hapa ni sisi tuwape elimu wasio na uwezo wa kuingia kwenye mitandao ya kijamii.
 
Ontario ni Nabii asiye kubalika nyumbani

ila ukweli utabaki pale pale Ontario anasaidia wengine

na kupitia kusaidia wengine hata nae anahitaji kula/avae/aendeshe maisha

Ninaamini na nina uhakika hata yeye ana malengo aliyojiwekea yanayohitaji pesa

ili aweze yatimiza,sasa kuliko aibe au atapeli kwanini asiwafundishe na nyie

mkamlipa kidgogo kama binadamu wengine?? kwanini mnataka kujenga chuki

zisizo na msingi kwa kaka wa watu?? Acheni afanye maisha yake na nyie fanyeni

yenu,kila siku mnamuongelea yeye ila hamuwasemi wachungaji na viongozi wenu

wa dini wanaotafuna sadaka kila leo? shenzi kabsa
We ni mjinga wa mwisho kama ana malengo aliyojiwekea yanahitaji pesa, kwa nn asijifundishe yeye akapata pesa ili atimize hayo malengo??
Endeleeni kuibiwa hadi mpatw akili maana vichwa vyenu vimejaa maji ndani
Hakuna atayekufundisha mjini uishi vipi, ni akili yako na kujiongeza tu, hawa motivational speakers ni wajinga na wapumbavu kupindukia!
 
wajinga watu wanaingiza pesa??

shame on you,pesa Huna upo hapo kuponda watu wanaoweza kukulisha wewe na familia yako.
 
Naona kule Sauzi hela imekata amekuja tena kujichotea kwa wale watu wake.

Kuna siku watakuja kumpa kesi ya utakatishaji/uhujumu uchumi hata amini acha aendelee kujileta leta bongo.

Watu wangu wa pale Jangid mpo?

Tupo bobu
Nikiona jina Ontario napata Fever
 
Back
Top Bottom