Ontario (Sirjeff) ametuleta fursa kwa mara nyingine

Haka Kajamaa bwana kalizopiga kwenye Forex na Cree hazikutosha? amekuja na uongo mwingine tena
 
nyie wakulima mnajuaga kulima ndio kazi pekee hapa duniani..
Kazi nyingine ni zipi ndugu yangu betting au kucheza korokoro au karata tatu!?
Fanya kazi mafanikio yatakuja kulingana na fursa za wakati huo acheni kupenda miteremko!ndo maana siku hizi vijana wengi mjini mnaishia kuwa punda au kulelewa na mijimama kama siyo kushinda kwenye mikeka ya betting!Tumia akili ya 5 capitals kupata mali halali
 
huna ujualo unatoa povu tu...
 
Back
Top Bottom